RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024

NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024

NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024,Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) – 111 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.
  • Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.
  • Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na jamii.
  • Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics).
  • Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.
  • Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno.
  • Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya.
  • Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wake.
  • Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
  • Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi.
  • Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

NAFASI 111 za Daktari wa Upasuaji wa Kinywa na Meno July 07-2024

Tags: , , ,

Comments are closed.