RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI 2 za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024

NAFASI 2 za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi July 07-2024

NAFASI 2 za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 2 za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi Kutoka TAMISEMI July 07-2024.

POST AFISA MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT CHILD CARE OFFICER GRADE II) – 2 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kutoa huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto katika Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo Mchana, Vituo vya Kulelea Watoto Wachanga, Makao ya Watoto Walio katika Mazingira Hatarishi ikiwamao mahabusu za watoto, shule za maadilisho, nyumba salama (safe houses) na Drop-in centres, vituo shikizi vya shule (Satellite schools)
  • Kuandaa mpango wa huduma za uchangamshi wa awali katika viyuo vya kulelea watoto wadoga mchana
  • Kushiriki katika kuandaa mazingira wezeshi ya utekelezaji wa huduma za MMMAM kwa watoto ikiwamo miundombinu na vifaa vya michezo na kona za ujifunzaji.
  • Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kila siku katika eneo husika.
  • Kutambua wadau, fursa na rasilimali walizonazo ili kuwaunganisha na wahudumiwa
  • Kuendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo walezi wa watoto na jamii husika,
  • Kutoa ushauri kwa wazazi/walezi kuhusu malezi ya watoto katika eneo lake
  • Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kila siku katika eneo husika.
  • Kushiriki katika kutambua wadau, fursa na rasilimali walizonazo ili kuwaunganisha na wahudumiwa
  • Kutoa elimu na huduma ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto kwa jamii.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada katika mojawapo ya fani za Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Ustawi wa Jamii, Saikolojia au fani nyingine zinazofanana na hizo kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.

NAFASI 2 za Afisa Mlezi wa Watoto Msaidizi July 07-2024

Tags: , , ,

Comments are closed.