NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024
NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024
NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024,Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Ajira 289 za Afisa Muuguzi Kada ya Afya July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi TAMISEMI July 07-2024.
POST AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 289 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na sehemu zote zinapotolewa huduma za afya.
- Kukusanya takwimu muhimu za afya.
- Kuwaelekeza na kusimamia wauguzi walio chini yake.
- Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani.
- Kutoa ushauri nasaha.
- Kutayarisha mpango wa kazi kwaajili ya huduma za uuguzi.
- Kutoa huduma za kingana uzazi.
- Kuelimisha wagonjwa na jamii.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali, waliohitimu mafunzo ya vitendo kazini (Internship) ya mwaka mmoja, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania.
NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 11 POST Employer: Mkoa wa Arusha More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 21 POST Employer: Mkoa wa Dar es Salaam More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 11 POST Employer: Mkoa wa Dodoma More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 13 POST Employer: Mkoa wa Geita More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 4 POST Employer: Mkoa wa Iringa More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 21 POST Employer: Mkoa wa Kagera More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 23 POST Employer: Mkoa wa Katavi More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 10 POST Employer: Mkoa wa Rukwa More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 12 POST Employer: Mkoa wa Shinyanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 11 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 11 POST Employer: Mkoa wa Singida More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 7 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 12 POST Employer: Mkoa wa Tabora More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II) – 10 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
Tags: Ajira 289 za Afisa Muuguzi Kada ya Afya July 2024, NAFASI 289 za Afisa Muuguzi July 07-2024, Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi Kutoka Mikoa Mbalimbali Mwezi July 2024, Nafasi za Kazi za Afisa Muuguzi TAMISEMI July 07-2024.