NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024
NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024
NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024,Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira 726 za Madaktari Kada ya Afya TAMISEMI 2024, Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka July 07-2024.
POST DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 726 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.
- Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
- Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
- Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
- Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.
- Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake.
- Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
- Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement).
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 18 POST Employer: Mkoa wa Shinyanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 12 POST Employer: Mkoa wa Simiyu More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 19 POST Employer: Mkoa wa Singida More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 20 POST Employer: Mkoa wa Songwe More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 27 POST Employer: Mkoa wa Tabora More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
POST: DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER II) – 40 POST Employer: Mkoa wa Tanga More Details |
2024-07-20 Login to Apply |
Tags: Ajira 726 za Madaktari Kada ya Afya TAMISEMI 2024, NAFASI 726 za Madaktari July 07-2024, Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka July 07-2024., Nafasi za Kazi za Madaktari Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024