RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI ya Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno July 07-2024

Filed in Ajira by on 07/07/2024

NAFASI ya Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno July 07-2024

NAFASI ya Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno July 07-2024,Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania Mwezi July 2024, Ajira za Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Kutoka Kada ya Afya Tanzania July 2024, Nafasi za Kazi za Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Kutoka Tamisemi July 07-2024.

POST DAKTARI BINGWA WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SPECIALIST II) – 1 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.
  • Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Serikali juu ya afya ya kinywa na meno.
  • Kusimamia utekelezaji wa mipango ya kitaifa inayohusu afya ya kinywa na meno.
  • Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya ya kinywa na meno.
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za kinywa na meno.
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
  • Kuandaa upatikanaji wa vifaa na mahitaji mengine ya tiba ya meno katika ngazi ya taifa
  • Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya ya kinywa na meno nchini.
  • Kusimamia shughuli zote zinazohusu taaluma ya afya ya kinywa na meno katika wilaya na mikoa kupitia kwa wakuu wa afya katika ngazi hizo.
  • Kubuni, kusimamia na kuendesha utafiti katika maeneo mbalimbali ya afya.
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo katika eneo lake la kazi.
  • Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake.
  • Kutoa huduma za medical legal
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa wa Meno (M.Med/M.Dent au PhD kwenye fani ya Udaktari wa meno) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

NAFASI ya Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno July 07-2024

Tags: , , ,

Comments are closed.