RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024

Filed in Habari, Michezo, NECTA by on 20/01/2024

USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024

NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024, Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE NA FTNA) 2024, Tangazo FTNA na CSEE 2024 PDF, NECTA Registration of Independent Candidates (CSEE AND FTNA) 2024.

NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024

USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024, NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024, Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE NA FTNA) 2024, Tangazo FTNA na CSEE 2024 PDF, NECTA Registration of Independent Candidates (CSEE AND FTNA) 2024.

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anawajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Upimaji wa Kidato cha Pili (FTNA) Novemba, 2024 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba;

Kipindi cha usajili kitaanza tarehe 01/01/2024 kwa ada ya Shilingi 50,000/= kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 10,000/= kwa wanaojisajili FTNA na kitaisha tarehe 29/02/2024.

Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa kuanzia tarehe 01/03/2024 hadi tarehe 31/03/2024 watalipa Shilingi 65,000/= kwa Watahiniwa wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 15,000/= kwa Watahiniwa wa Upimaji wa Kidato cha Pili (FTNA) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.

NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024, Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE NA FTNA) 2024, Tangazo FTNA na CSEE 2024 PDF, NECTA Registration of Independent Candidates (CSEE AND FTNA) 2024.

NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024

Mtahiniwa atakaye jisajili kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2024 ni yule ambaye anarudia Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) au amefanya na kufaulu Mtihani wa Maarifa (QT) katika kipindi kisichozidi Miaka Kumi (10)
iliyopita au amefanya na kufaulu Upimaji wa Kidato cha Pili (FTNA) katika kipindi kisichozidi Miaka Kumi (10) iliyopita au mwenye sifa zinazolingana na hizo alizopata kutoka nje ya Nchi na kufanyiwa ulinganifu na Baraza la Mitihani la Tanzania.

Mtahiniwa atakaye jisajili kufanya Upimaji wa Kidato cha Pili (FTNA) ni yule ambaye anatafuta sifa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne kama Mtahiniwa wa Kujitegemea.

Usajili unafanyika kwa njia ya mtandao, kwa kufuata hatua zifuatazo;

  • Fika Kituo unachotarajia kufanyia Mtihani ili kupata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo kuhusu usajili wa watahiniwa wa Kujitegemea.
  • Mkuu wa Kituo cha Watahiniwa wa Kujitegemea ataingiza namba rejea
    ya Mtahiniwa kwenye mfumo wa usajili ili kupata ‘Control Number’ ya kufanyia malipo ya ada ya Mtihani.
  • Mkuu wa Kituo cha Watahiniwa wa Kujitegemea atakukabidhi ‘Control
    Number’ ili ukafanye malipo Benki.
  • Mtahiniwa utafanya malipo ya ada ya Mtihani Benki kwa kutumia ‘Control Number’ uliyo kabidhiwa.
  • Baraza la Mitihani hufanya na kupokea malipo kupitia Benki ya NMB, CRDB au NBC.
  • Fika tena kwa Mkuu wa Kituo cha Watahiniwa wa Kujitegemea ili kusajiliwa kwaajili ya Mtihani unaotarajia kuufanya.
  • Nenda na vielelezo vyote vinavyohitajika kwenye usajili ambavyo ni pamoja na picha, orodha ya masomo ya kusajiliwa, Kivuli cha cheti cha Kuzaliwa, namba ya simu na taarifa nyinginezo zilizo muhimu kusajiliwa.
  • Baada ya usajili kukamilika utapewa nakala moja ya fomu ili itunzwe na wewe mwenyewe kwaajili ya kumbukumbu.
  • Nakala ya pili ya fomu, itabaki Kituoni ambapo nakala ya tatu ya fomu itapekekwa Baraza la Mitihani.
USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024, NECTA Tangazo Kwa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE na FTNA) 2024, Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea (CSEE NA FTNA) 2024, Tangazo FTNA na CSEE 2024 PDF, NECTA Registration of Independent Candidates (CSEE AND FTNA) 2024.

USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024

USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024

Ufafanuzi kuhusu utaratibu wa hatua za kufuata katika usajili, umetolewa
katika www.necta.go.tz. Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha
wanasajiliwa mapema kwani mfumo wa usajili utafungwa baada ya kipindi cha
usajili kumalizika.

NECTA TANGAZO KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA (CSEE NA FTNA) 2024 DOWNLOAD PDF

Usajili wa watahiniwa wa kujitegemea csee na ftna 2024 download Pdf, Usajili Wa Kidato Cha Sita 2024, NECTA Usajili wa watahiniwa wa kujitegemea Kidato Cha Sita 2024, NECTA Form Two, NECTA Form Four Results, Sifa za Watahiniwa wa Kujitegemea Kidato Cha Sita, NECTA news, Www NECTA go tz 2024, NECTA News 2023/2024, Matokeo ya kidato cha nne,Matokeo ya Darasa la Saba.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.