RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


UTAPELI Tamisemi yatoa tamko

Filed in TAMISEMI, Habari by on 27/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

UTAPELI Tamisemi yatoa tamko

UTAPELI Tamisemi yatoa tamko, Ishu ya Utapeli TAMISEMI yatoa tamko, matapeli wa Mtandaoni kukiona Cha moto, www.tamisemi.go.tz 2024 uhamisho, Katibu Mkuu tamisemi 2024, TAMISEMI news today ajira, Tangazo la ajira TAMISEMI, Namba ya simu ya waziri wa tamisemi, breaking news, tamisemi update,Wizara ya elimu TAMISEMI, ajira.tamisemi.go.tz oteas, Katibu Mkuu Tamisemi Address, Katibu Mkuu Tamisemi Contacts, Tamisemi go tz login.

UTAPELI Tamisemi yatoa tamko

UTAPELI Tamisemi yatoa tamko, Ishu ya Utapeli TAMISEMI yatoa tamko, matapeli wa Mtandaoni kukiona Cha moto,TAMISEMI news today ajira, Tangazo la ajira TAMISEMI, Namba ya simu ya waziri wa tamisemi, breaking news, tamisemi update,Wizara ya elimu TAMISEMI, ajira.tamisemi.go.tz oteas,Tamisemi go tz login.

Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetoa taarifa kuwa imepokea taarifa kutoka kwa raia wema wakidai kutumiwa ujumbe na watu waliojinasibu/ jitambulisha kuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) kwamba watume fedha kwaajili ya kukamilisha shughuli za misiba ya ndugu wa viongozi mbalimbali nchini.

Watu hao wasio na nia njema wanatumia jina la Waziri Mchengerwa vibaya na mara zote walipopigiwa simu hawapokei na zaidi wanatumia picha ya Mheshimiwa kuweka Dp kwenye ukurasa wa WhatsApp kwa namba 0622-977899 ili kuwaamisha watu kuwa ni namba ya Mhe. Mchengerwa.

TAMISEMI imesema kuwa watu hao ni wahalifu na wana lengo la kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu na namba inayotumiwa si ya Mhe. Mchengerwa.

Ofisi ya Rais-TAMISEMI inaomba umma wa Watanzania kupuuza jumbe zinazotumwa kwani zina lengo la kuwatapeli wananchi.

Kwa yeyote aliyepokea na atakayepokea jumbe zenye maudhui tajwa aripoti kwenye vyombo vya usalama kwa hatua stahiki.

Tahadhari inatolewa kuwa, OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na vyombo vya Dola inaendelea kufuatilia suala hili kwa ukaribu na hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivi vya kihalifu.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

Comments are closed.