RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RAIS Samia afanya Uteuzi Mpya Leo February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 07/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RAIS Samia afanya Uteuzi Mpya Leo February 2024

RAIS Samia afanya Uteuzi Mpya Leo February 2024

RAIS Samia afanya Uteuzi Mpya Leo February 2024

RAIS Samia afanya Uteuzi Mpya Leo February 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Thomas Nestory Bwana kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI).

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Thomas alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais na anachukua nafasi ya Dkt. Geofrey Mkamilo ambaye amemaliza muda wake.

Vile vile, amemteua aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ambapo Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA Hosea Kashimba atapangiwa kazi nyingine.

Rais Dkt. Samia pia amemteua Dkt. Bill Kiwia kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akichukua nafasi ya Badru ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.