MAJINA ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Uhamiaji March 2024
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Uhamiaji March 2024
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Uhamiaji March 2024, Kazi ZA jeshi la uhamiaji tanzania,Mfano wa barua ya kujiunga na jeshi la uhamiaji,Tanzania Immigration Department, KUITWA KWENYE MAFUNZO MARCH 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Mafunzo Uhamiaji March 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Idara ya Uhamiaji March 2024.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia Vijana waliofaulu usaili na kuchaguliwa, kujiunga na Chuo cha Uhamiaji Raphael Kubaga kilichopo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga, kuwa
wanatakiwa kuripoti tarehe 03 Aprili, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
Yeyote atakayeripoti Chuoni baada ya muda huo hatapokelewa.
Aidha, Kwa wale wote walioomba na kuchaguliwa kupitia Afisi ya Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, wanatakiwa kuripoti katika Afisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (Tunguu) tarehe 25 Machi, 2024 saa 2:00 asubuhi.
Vijana wanapaswa kuripoti Chuoni wakiwa na nyaraka halisi zifuatazo:-
- Cheti cha kuzaliwa,
- Kitambulisho cha Taifa au Namba ya Utambulisho (NIDA),
- Vyeti vya Elimu ya Kidato cha Nne,
Sita, Shahada pamoja na Vyeti mbalimbali vya Ujuzi. - Yeyote ambaye hatokuwa na Vyeti halisi vya elimu hatapokelewa.
Vijana wote wanatakiwa kuwa na mahitaji yafuatayo:-
- Track suit rangi nyeusi (1) na rangi ya bluu (1),
- Raba jozi (2) za michezo,
- Fedha taslim Tzs. 20,000/= ya vipimo vya Afya,
- Bima ya Afya, na
Tzs. 50,400/= kwa wale wasiokuwa na Bima ya Afya. - Pia wote wanapaswa kuja na mashuka (4) na foronya (2) zote za rangi ya bluu bahari,
- Mto (1),
- Chandarua rangi ya bluu bahari,
- Madaftari makubwa (4),
- Sanduku la chuma (trunker) (1),
- Ndoo (2) za plastiki (moja ya lita 20 na moja ya lita 10),
- Fulana (2),
- Vifaa vya usafi (jembe na mpini,
- Fyekeo, sururu, panga na shoka),
- Jozi (1) ya viatu vya mvua (rainboot).
- MASWALI na Majibu ya Interview Ajira za Uhamiaji
Kwa yeyote ambaye hatapata vifaa tajwa; vifaa hivyo atavipata katika duka la Chuo.
Aidha, kijana atajigharamia kwa usafiri na chakula hadi atakaporipoti Chuoni.
Majina ya walioitwa kwenye Mafunzo ya Uhamiaji yanapatikana katika Tovuti ya Idara ya Uhamiaji www.immigration.go.tz na Kwa Kudownload PDF hapa chini.
KUITWA KWENYE MAFUNZO MARCH 2024 DOWNLOAD PDF
Imetolewa na;
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
19 Machi, 2024.
About Immigration Department
Who we are
The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015. It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.
Vision
To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.
Mission
To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.
Motto
Migration security and development
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024