RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 58 za Kazi Kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 26/03/2024

NAFASI 58 za Kazi Kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam March 2024

NAFASI 58 za Kazi Kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam March 2024, Halmashauri ya jiji la dar es salaam location, Nembo ya jiji la dar es salaam, Mkurugenzi mpya wa jiji la dar es salaam,Nafasi za kazi jiji LA dar es salaam.

NAFASI 58 za Kazi Kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam March 2024

NAFASI 58 za Kazi Kutoka Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam March 2024, Halmashauri ya jiji la dar es salaam location, Nembo ya jiji la dar es salaam, Mkurugenzi mpya wa jiji la dar es salaam,Nafasi za kazi jiji LA dar es salaam.

Mkurugezi wa JIJI Dar es Salaam anawatangazia sifa nafasi ya kazi ya Watanzania wote wenye kukusanya ushuru wa vyoo.

WAKUSANYA USHURU WA VYOO VYA UMMA (NAFASI 42)

SIFA ZINAZOHITAJIKA

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe na elimu ya Cheti/ Stashahada ya Uhasibu au Uongozi wa Biashara kutoka Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.

KAZI/MAJUKUMU

  • Kukusanya ushuru wa vyoo
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.

AFISA TEHAMA NAFASI (1) – (DDC)

SIFA ZINAZOHITAJIKA

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe na elimu ya Cheti/ Stashahada ya Tehama kutoka Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.

DEREVA NAFASI (1) – (DDC)

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe na cheti cha Udereva kutoka Chuo
    kinachotambuliwa na Serikali.

WALINZI NAFASI (10) (DDC)

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
  • Awe amepata mafunzo ya Mgambo/JKT
  • Awe na sare za Mgambo

WAFANYA USAFI NAFASI 4 (DDC)

  • Awe na uzoefu wa kufanya usafi
  • Awe na barua ya udhamini kutoka kwa mtumishi wa Serikali

MASHARTI KWA UJUMLA:

  • Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
  • Awe amehitimu na kupata cheti cha kidato cha Nne NB:”Results Slip” hazitakubadilika.
  • awe na cheti cha kuzaliwa.
  • Awe na umri kati ya miaka 18-45.
  • Ajira ni ya mkataba wa miezi sita [6].
  • Mwajiri atalipa mshahara wa Tsh. 10,000 kwa siku yenye kuleta jumla ya 300,000/= hadi 310,000/= kwa mwezi kwa Wakusanya Ushuru, Tehama, Walinzi.
  • Wafanya usafi watalipwa na
    Dereva Sh.5,000/= kwa siku yenye
    kuleta jumla Sh.150,000/= kwa mwezi.

Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo:

Nakala za vyeti vya mwombaji vilivyothibitishwa ambayo ni:

  • Cheti cha kidato cha nne
  • Cheti cha Taaluma
  • Cheti cha Kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Picha ndogo ya rangi (colored Passport size moja ya hivi karibuni).
  • Waombaji wenye sifa pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawaruhusiwi kuomba kwani maombi yao hayatafanyiwa kazi.
  • Barua ambazo hazikuambatanishwa na nyaraka zilizotajwa hapo juu hazitashughulikiwa.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na anwani kamili ya mwombaji pamoja na namba ya simu zitumwe kwa anuani ifuatayo hapa chini;
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI S.L.P. 20950
DAR ES SALAAM.
Mwisho kupokea maombi ni tarehe 27/03/2024 saa 9.30
Mchana

Meya wa jiji la dar es salaam, Halmashauri ya manispaa ya Ilala Dar es Salaam,Ramani ya jiji la dar es salaam, Ofisi ya mkurugenzi wa jiji la dar es salaam, Sanduku la posta la dar es salaam,Halmashauri ya manispaa ya Ilala Address, Mkurugenzi wa jiji la ilala, Dar es Salaam City Council website.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

About Nijuze Habari

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.