RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

HESLB Dirisha la Kuomba Mkopo March Lafunguliwa

Filed in Makala, Michezo by on 22/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

HESLB Dirisha la Kuomba Mkopo March Lafunguliwa

HESLB Dirisha la Kuomba Mkopo March Lafunguliwa,HESLB Imefungua Dirisha La Kutuma Maombi Ya Mikopo March 2024, Dirisha La Mkopo 2024 Kufunguliwa lini, Jinsi ya kuomba mkopo Online, Dirisha la Mkopo linafungwa lini 2024.

MAOMBI YA MIKOPO STASHAHADA KUANZA KUPOKELEWA MACHI 1

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HELSB inapenda kuwafahamisha wanafunzi wa Stashahada (Diploma) waliopata udahili wa kuanza masomo mwezi Machi, 2024 kuwa dirisha la kuomba mkopo kwa njia ya mtandao limefunguliwa kwa WIKI TATU kuanzia Machi 1, 2024 hadi Machi 22,2024.

Hivo wanafunzi wanapaswa kusoma ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Elimu kwa Wanafunzi wa Stashahada kwa mwaka 2023-2024 (TOLEO LA PILI)’ ambao unapatikana katika

www.heslb.go.tz na www.nactvet.go.tz ili kufahamu kozi zinazopewa kipaumbele na utaratibu wa kuwasilisha maombi.

HESLB Dirisha la Kuomba Mkopo March Lafunguliwa,HESLB Imefungua Dirisha La Kutuma Maombi Ya Mikopo March 2024, Dirisha La Mkopo 2024 Kufunguliwa lini, Jinsi ya kuomba mkopo Online, Dirisha la Mkopo linafungwa lini 2024.

HESLB Dirisha la Kuomba Mkopo March Lafunguliwa

Kwa wanafunzi wa Stashahada waliodahiliwa awali na hawakuwa wamepata fursa ya kuomba mikopo, wanaruhusiwa pia kuomba mkopo kwa kuzingatia sifa na vigezo vilivyoorodheshwa kwenye mwongozo.

MUHIMU: Wanafunzi waombaji wanasisitizwa kuzingatia muda wa kuwasilisha maombi (Machi 1 – 22, 2024) kwa kuwa hautaongezwa ili kutoa fursa ya uchambuzi na upangaji mikopo kwa wenye sifa.

SIPA HESLB login, OLAMS HESLB Login account, HESLB Online Application, HESLB login, dirisha la mkopo 2023/2024, Mwisho wa Kuomba Mkopo 2024, vigezo vya kupata mkopo ngazi ya diploma 2023/2024, HESLB news today, heslb news 2023/24.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , ,

Comments are closed.