RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United

Filed in Michezo by on 05/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United

Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United, Simba vs tabora today, Simba vs tabora results, Simba vs tabora prediction, Simba vs tabora live, Simba vs tabora lineups.

Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United

Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba SC, Seleman Matola amesema kuwa wachezaji wapo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wa kesho Jumanne wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United utakaopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kuanzia majira yai saa 10 jioni.

Matola amesema kuwa wanafahamu utakuwa mchezo mgumu kutokana na ubora wa wapinzani lakini tumejiandaa kuwakabili ili kupata pointi zote tatu.

Matola ameongeza kuwa kiungo mkabaji Fabrice Ngoma tayari amejiunga na wenzake hivyo benchi la ufundi litaamua kumtumia kama atakuwa yupo timamu kimwili.

“Tumefika salama mkoani Tabora, wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na tunategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Tabora lakini tumejipanga kuhakikisha tunashinda,” amesema Matola.

Kwa upande wa mlinzi wa kati, Hussein Kazi amesema morali za wachezaji zipo juu na kila mmoja yupo tayari kuhakikisha anapambana kuipigania timu.

Aidha Kazi amewaomba Mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kuipa sapoti timu na hatimaye ushindi upatikane.

“Sisi wachezaji tupo tayari kwa mchezo wa kesho, tunajua utakuwa mchezo mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha tunashinda,” amesema Kazi.

Pia waweza kufuatilia LIVE Updates za Mchezo huo pindi ukoanza kupitia Nijuze Habari ukibofya hapa

Kauli ya Matola Kuelekea mchezo vs Tabora United, Simba vs tabora today, Simba vs tabora results, Simba vs tabora prediction, Simba vs tabora live, Simba vs tabora lineups.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.