RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 31/01/2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Moshi 29-01-2024,Majina ya tarafa za moshi mjini, Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi,Mkuu wa wilaya ya moshi mjini.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Moshi 29-01-2024,Majina ya tarafa za moshi mjini, Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi,
Mkuu wa wilaya ya moshi mjini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anawatangazia waombaji wa nafasi za kazi kwenye tangazo la kazi lenye Kumb. Na. MDC/E.50/3VOL.V/73 la tarehe 04 Septemba 2023, waliotuma maombi kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji daraja la III, Dereva daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II, kuwa usaili utafanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Weruweru saa 2:00 asubuhi kama tarehe zilivyoainishwa kwenye majedwali yaliyoambatana na tangazo hili.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1.Kila msailiwa anapaswa kuwa na Kitambulisho cha Nida/Taifa kwaajili ya utambuzi.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Moshi 29-01-2024,Majina ya tarafa za moshi mjini, Nafasi za kazi halmashauri YA manispaa ya Moshi,Mkuu wa wilaya ya moshi mjini.

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Moshi January 2024

Aidha kwa wale ambao wana namba za Nida lakini hawana kitambulisho wanapaswa waje na mojawapo ya vitambulisho vifuatavyo:

Kitambulisho cha mpiga kura/kitambulisho cha kazi/hati ya kusafiria.

2.Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI VYA ELIMU NA TAALUMA kulingana na sifa zao na kada walizoomba bila kusahau cheti cha kuzaliwa.

3.Wasailiwa watakaowasilisha “Testimonials” provisional results, statement of results, hati za matokeo ya kidato cha IV na VI (Form IV na VI results slips), HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

4.Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.

5.Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA).

Waombaji kazi ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawajakidhi vigezo, hivyo wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024.

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, 01 Barabara ya Ikulu, S.L.P 3003, 25183 Moshi-Kilimanjaro, Simu: 027 2755172/2751865, Nukushi: 027 2754305, Barua Pepe: [email protected] au [email protected], Tovuti: www.moshidc.go.tz

Halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini,
Kata za moshi vijijini, Moshi District Council address,Wilaya za moshi vijijini, Shule za msingi moshi vijijini, Mitaa ya moshi mjini, Ramani ya moshi vijijini, Halmashauri ya wilaya ya chamwino,Tarafa za mkoa wa kilimanjaro.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.