RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024

Filed in TAMISEMI, Michezo by on 27/01/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024, Tangazo la Ajira Kada za Afya Januari 2024,Majina ya walioitwa kazini 2024, Ajira Wizara ya Afya 2024 PDF, Ajira za Afya Januari 2024,Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024, Tangazo la Ajira Kada za Afya Januari 2024,Majina ya walioitwa kazini 2024, Ajira Wizara ya Afya 2024 PDF, Ajira za Afya Januari 2024,Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024.

Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi
umekamilika kwa awamu ya nne.

Awamu hii ni kwaajili ya kujaza nafasi wazi 42 za Watumishi ambao hawakuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa awamu ya Pili
katika kipindi cha mwezi Septemba 2023.

Mwezi Aprili, 2023, Ofisi ya Rais – TAMISEMI ilipata kibali cha ajira ya watumishi 8,070 wa Kada mbalimbali za Afya. Baada ya mchakato wa ajira kukamilika, jumla ya waombaji wa ajira wenye sifa wa kada za afya 7219 walipangiwa vituo vya kazi.

MAJINA ya Waliotwa Kazini Kada za Afya January 2024, Tangazo la Ajira Kada za Afya Januari 2024,Majina ya walioitwa kazini 2024, Ajira Wizara ya Afya 2024 PDF, Ajira za Afya Januari 2024,Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya 2024.Waombaji wote walio pata nafasi wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo: –

  • Kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa katika muda wa siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
  • Aidha, waombaji watakaoshindwa kuripoti kwenye vituo vya kazi ndani ya siku kumi na nne (14) nafasi zao zitajazwa na waombaji wengine haraka iwezekanavyo.
  • Kuwasilisha Vyeti Halisi (Original Certificates) vya Kidato cha Nne, Sita, Chuo Kikuu, NACTE na vyeti halisi vya usajili wa mabaraza ya kitaaluma kwaajili ya kuhakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
  • MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
  • Waombaji waliopata nafasi za ajira watakaoripoti bila ya kuwa na Vyeti Halisi (Original Certificates) vya Kidato cha Nne, Kidato Sita, Chuo Kikuu, NACTE na vyeti halisi vya usajili wa mabaraza ya kitaaluma hawatapokelewa.
  • Waombaji waliopata nafasi za ajira wanajulishwa kuwa hakutakuwa na nafasi ya kubadilisha vituo vya kazi walivyopangiwa.
  • Waombaji wote ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi
    zitakapotangazwa.
    Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wanaelekezwa kuwapokea, kuhakiki vyeti na kuwafanyia mafunzo elekezi (Induction Course) kabla ya kuwapangia vituo vya kazi.

Orodha ya majina ya waombaji waliopangiwa vituo vya kazi inapatikana kupitia tovuti ya OR-TAMISEMI www.tamisemi.go.tz au Kwa kubofya HAPA udownload PDF

Tangazo la Ajira kada za Afya (Replacement) Januari 2024

Kuona orodha ya Majina bofya hapa

Tangazo la kuitwa kazini waajiliwa  wapya wa mkataba kada za Afya  kupitia Mradi wa TMCHIP

Kuona orodha ya Majina bofya hapa

Limetolewa na:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais – TAMISEMI,
Mji wa Serikali – Mtumba,
S.L.P. 1923,
DODOMA.
26 Januari, 2024

TAMISEMI Ajira za Afya, Orodha ya majina ya watumishi wa afya waliopangiwa vituo vya kazi January 2024, Ajira za afya sekta binafsi,Ajira za Afya 2024, Waliochaguliwa Ajira Wizara ya Afya, Tarehe ya kuripoti kazini ajira mpya za Afya 2024, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI, Ajiraportal24, Tamisemi call for work ajira za afya 2024 download, Tamisemi call for work ajira za afya 2024 date.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.