RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 31/03/2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 30-2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 30-03-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 30-2024, Kuitwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs March 2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 30-03-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-04-2024 hadi 09-04-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu
usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
    Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

MUHIMU:
Wasailiwa wote wanatakiwa kuhuisha (UPDATE) taarifa zao kwenye eneo la Contacts Details, lililopo sehemu ya Personal Details kwenye Akaunti zao za Ajira Portal, kwa kujaza ‘Current
Resident Region’ na ‘Current Resident District’ kwa kuzingatia wapi walipo kwa sasa, ili waweze kupangiwa kufanya usaili katika eneo lililo karibu na walipo sasa.

Wasailiwa wote mnatakiwa kubadilisha mara moja kulingana na maeneo yenu kwa kuwa hataruhusiwa msailiwa yeyote kufanya usaili katika kituo ambacho hakupangiwa.

Wasailiwa wote watapaswa kufanya usaili kwenye vituo ambavyo wamepangiwa kulingana na jinsi walivyoanisha kwenye ‘Current Resident Region’ na ‘Current Resident District’

TAFADHALI HUISHA (UPDATE) TAARIFA ZAKO KABLA YA TAREHE 2 APRIL, 2024.

Vituo vya kufanyia usaili kwa wasailiwa wote watajulishwa kupitia Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira pamoja na kwenye Akaunti zao za Ajira Portal.

ORODHA YA MAJINA YA WALIOTWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 30-03-2024 DOWNLOAD PDF

MAJINA ya Waliotwa Kwenye Usaili MDAs na LGAs 30-03-2024

Ajira portal, Sekretarieti ya ajira, Ajira portal login MDAs & LGAs, ajira.go.tz 2024, AJIRA LEO Ajira portal Vacancies, Ajira portal news, ajira.moh.go.tz login,
Recruitment portal Call for Interview Ajira,Ajira portal registration.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.