RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU PCCB February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 01/02/2024

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU PCCB February 2024

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU February 2024, Nafasi za Kazi TAKUKURU PCCB Tanzania February 2024,Sifa za kujiunga na takukuru, TAKUKURU ajira portal, MAFUNZO ya TAKUKURU, Ajira leo PCCB.

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU February 2024

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU PCCB February 2024, Nafasi za Kazi TAKUKURU PCCB Tanzania February 2024,Sifa za kujiunga na takukuru, TAKUKURU ajira portal, MAFUNZO ya TAKUKURU, Ajira leo PCCB.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa katika nafasi za kazi zifuatazo kujaza ofisi za Wilaya:

AFISA UCHUNGUZI (NAFASI 250)

SIFA ZA MWOMBAJI:
SIFA ZA KITAALUMA:

  • Muombaji awe angalau na Elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa
    na chuo kinachotambulika na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika fani zozote kati ya hizi: Sheria, Uhasibu, Kodi,
    Sayansi ya Kompyuta, Sayansi ya Uhalisia, Ununuzi, Uchumi,
    Mipango, Usalama wa Mitandao, Takwimu, Ukadiriaji wa
    Majenzi, Uhandisi wa Umeme, Usanifu wa Majengo, Uhandisi wa
    Ujenzi, Uhandisi wa barabara na Uhandisi wa Maji, Saikolojia,
    Ushauri na Unasihi;
  • Muombaji awe na ufaulu wa kuanzia daraja la pili la chini (lower second class).
  • Waombaji waliosajiliwa na Bodi za Kitaaluma watapewa kipaumbele
    zaidi.
  • NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024

SIFA ZINGINE:

  • Mwombaji ni lazima awe raia wa Tanzania na mwenye umri usiozidi
    miaka 30.
NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU February 2024, Nafasi za Kazi TAKUKURU PCCB Tanzania February 2024,Sifa za kujiunga na takukuru, TAKUKURU ajira portal, MAFUNZO ya TAKUKURU, Ajira leo PCCB.

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU February 2024

MCHUNGUZI MSAIDIZI (NAFASI 100)

SIFA ZA MWOMBAJI:
SIFA ZA KITAALUMA:

  • Awe na cheti cha elimu ya Kidato cha nne (CSE) au Kidato cha sita
    (ACSE), Astashahada au Stashahada ya fani yoyote inayotolewa na
    Taasisi au chuo kinachotambulika na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na fani kama vile Mafunzo ya JKT
    na stadi za ulinzi, Ufundi wa magari, uchomeleaji na upigaji rangi za magari, Umeme wa magari, Udereva, Usaidizi wa ofisi na Mapokezi, uhasibu wasaidizi, Katibu Muhtasi/Mwandishi Mwendesha ofisi.

SIFA ZINGINE:

  • Mwombaji ni lazima awe raia Tanzania na mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25.

TAKUKURU portal, Kazi za TAKUKURU PDF, Takukuru ni nini, TAKUKURU online application, Takukuru dar es Salaam, Namba za takukuru dar es salaam, Mkuu wa takukuru tanzania 2024, Takukuru Salary scale, PCCB news
PCCB Tanzania, www.pccb.go.tz login,
www.pccb.go.tz portal.

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE

  • Waombaji wanapaswa kuwa waadilifu na wasiokuwa na rekodi ya uhalifu;
  • Waombaji waambatishe nakala zilizothibitishwa za vyeti vya kitaaluma na nyaraka nyingine ikiwamo nakala za vyeti vya kumaliza masomo katika ngazi mbali mbali za masomo;
  • Waombaji wawe wamepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa.
  • Waombaji wawasilishe nakala zilizothibitishwa za vyeti husika vikiwamo vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya elimu, vitambulisho vya Taifa (NIDA) au namba ya usajili wa vitambulisho vya Taifa, picha ndogo moja n.k;
  • Shuhuda za walimu, wahadhiri au waajiri kuhusu uwezo wa muombaji kimasomo au kiujuzi ama uzoefu na ufanisi wake katika kazi, nakala za vyeti vya taaluma zisizokuwa kamilifu na slipu za matokeo ya mitihani hazitapokelewa;
  • Vyeti vilivyotolewa na Bodi za Mitihani za nje ya Tanzania vya elimu ya Kidato cha nne (CSE) au elimu ya Kidato cha sita (ACSE) vinapaswa kuthibitishwa na Baraza la Mitihani ya Taifa la Tanzania (NECTA);
  • Vyeti vilivyotolewa na Vyuo Vikuu vya nje ya Tanzania vilivyothibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) vitapokelewa;
  • Waombaji wanapaswa kuambatisha Maelezo Binafsi (CV) kuhusu elimu, ujuzi na uzoefu wa kazi ya hivi karibuni na yenye anuani ya makazi, anuani ya posta, baruapepe na namba za simu za mkononi zinazofikika kwa mawasiliano;
  • Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya waombaji watakaowasilisha vyeti
    vya taaluma vya kughushi na taarifa za uongo katika Maelezo Binafsi (CV);
  • SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
  • Waombaji wanatakiwa kuwasilisha majina matatu ya wadhamini na namba za mawasiliano zinazopatikana na nakala moja ya picha ya hivi karibuni ya kila mdhamini;
  • Waombaji waliowahi kuajiriwa katika Utumishi wa Umma na kuachishwa kazi kwa sababu zozote zile wasiwasilishe maombi;
  • Barua za maombi ziandikwe kwa mkono katika lugha ya Kiswahili au ya Kiingereza;
  • Waombaji ambao ni waajiriwa katika Taasisi za Serikali wapitishe maombi kwa waajiri wao wa sasa.
  • Waombaji watakaokidhi vigezo vya awali vya sifa na matakwa ya maombi ndiyo pekee watakaofuzu kuingia katika hatua nyingine za mchakato huu wa ajira.

ANGALIZO:

  • Waombaji wote watambue kuwa ikitokea wameajiriwa watapangwa
    kwenye kituo chochote cha kazi kadri ya uamuzi wa Mkurugenzi
    Mkuu.
  • Cheti cha uanachama wa Klabu ya Wapinga Rushwa kitakuwa na
    faida ya ziada.

JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI

  • Maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa kielekitroniki wa ajira wa TAKUKURU ambao anuani yake ni: www.pccb.go.tz/ajira na si
    vinginevyo.
  • Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kwa mkono hayatapokelewa.
  • Barua za maombi ya ajira ziandikwe kwa Anuani;
    Mkurugenzi Mkuu,
    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,
    Mtaa wa Jamhuri,
    S.L.P. 1291,
    41101 DODOMA.
    MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: Tarehe 20 Februari, 2024

NAFASI 350 ZA KAZI TAKUKURU FEBRUARY DOWNLOAD PDF 2024

NAFASI za Kazi Uhamiaji, PCCB Job, Nafasi za kazi takukuru pccb february 2024 download PDF, Nafasi za kazi TAKUKURU 2024, Kazi za TAKUKURU PDF, Majina ya waliochaguliwa TAKUKURU 2024, Tangazo la ajira TAKUKURU February 2024 PDF, PCCB ajira portal login.

NAFASI 350 za Kazi TAKUKURU February 2024

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Comments are closed.