RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 03/04/2024

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,TEMESA Job Vacancies April 2024, Jobs Vacancies at TEMESA April 2024, 40 New FORM FOUR and Above Government Jobs at TEMESA April 2024.

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,TEMESA Job Vacancies April 2024, Jobs Vacancies at TEMESA April 2024, 40 New FORM FOUR and Above Government Jobs at TEMESA April 2024.

TANGAZO LA KAZI ZA MUDA WAKALA WA UFUNDI NA UMEME TEMESA.

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245.

Majukumu yake makubwa ni kutoa Huduma za Matengenezo ya Magari na Mitambo, Huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya Matengenezo ya Taa za Barabarani, kufanya Matengenezo ya Majokofu, Viyoyozi na kufanya Matengenezo ya Mifumo ya TEHAMA na Vifaa vya Elektroniki, kutoa Huduma za Vivuko na Huduma za Ushauri.

Meneja wa Kanda ya Mashariki na Kusini, katika kuhakikisha kuwa majukumu ya Wakala yanatekelezwa anatangaza nafasi za kazi za muda kama ifuatavyo:

1.FUNDISANIFU BAHARINI (MARINE) – NAFASI 10

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Awe na elimu ya kidato cha sita na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Baharini (Marine) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au
  • Awe na elimu ya kidato cha nne na kufuzu kozi ya miaka mitatu katika fani ya Baharini (Marine) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali,au
  • Awe na elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya I (Trade Test I) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  • Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi wa vyombo vya majini (Certificate of Successes Rating Forming Part of an engineering watch course)
  • Awe amefuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini na kuogelea.
  • Awe Raia wa Tanzania.

MAJUKUMU

  • Kuchunguza, kutambua na kufanya marekebisho ya vivuko/boti.
  • Kufanya matengenezo ya mashine za kupachika (outboard engines) na mitambo ya mashine za ndani (inboard engines) za vivuko/boti.
  • Kufanya majaribio ya mitambo ya vivuko/boti baada ya matengenezo.
  • Kutunza injini, vifaa, vipuli na zana za mitambo ya vivuko/boti
  • Kutunza na kuweka kumbukumbu za kiufundi za vivuko/boti.
  • Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

2.NAHODHA WA VIVUKO (FERRY CAPTAIN II) – NAFASI 10

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Awe na elimu ya kidato cha nne au Cheti cha Juu cha Elimu ya Sekondari (ACSEE)
  • Cheti cha lazima cha msingi (mandatory Certificate ) kulingana na STCW95 na Ukadiriaji Unaounda Sehemu ya Saa ya Kuongoza (Rating Forming Part of Navigation Watch – RFPAW).
  • Awe na Shahada ya Kwanza/Stashahada ya Juu/Diploma katika mojawapo ya fani zifuatazo; Sayansi ya Baharini, Uhandisi wa Baharini, Uhandisi wa Mitambo/Kiraia, Uhandisi wa Kielektroniki/Umeme, au nyanja nyingine yoyote inayohusiana ni faida iliyoongezwa
  • Awe Raia wa Tanzania.

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024

NAFASI 40 za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA April 2024,TEMESA Job Vacancies April 2024, Jobs Vacancies at TEMESA April 2024, 40 New FORM FOUR and Above Government Jobs at TEMESA April 2024.MAJUKUMU

  • Kuendesha kivuko (Pontoon) kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zinazokubalika kwa ujumla;
  • Kuondoka, kusafiri, kusimamisha na kuwasiliana kwa usalama kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zinazotumika;
  • Kuzingatia ratiba zilizowekwa za kuondoka na kufika;
  • Kufuatilia utendakazi wa wafanyakazi wote, kuripoti mwenendo wa kupigiwa mfano na usioridhisha kwa Mkuu wa Kivuko;
  • Kuripoti upungufu au ukiukwaji wowote kwa Kivuko kwa Mkuu wa Kivuko; na
  • Kufanya kazi nyingine kama itakavyoagizwa na msimamizi wako.

3.MABAHARIA DARAJA LA II (FERRY DECK ASSISTANT II) – NAFASI 10

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Awe na elimu ya kidato cha nne
  • Awe amemaliza angalau miezi sita ya muda wa Bahari katika huduma za baharini na Vyeti vya Mafunzo ya Lazima (Mandatory courses /refresher in mandatory courses) vinavyotolewa na Taasisi zinazotambuliwa na serikali au Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Baharini (IMO)
  • Kupanga watu na magari kwenye vivuko/boti.
  • Awe Raia wa Tanzania.

MAJUKUMU

  • Ili kuhakikisha kwamba pontoon ni salama wakati wote kwa uendeshaji;
  • Kufunga na kufungua kamba za pantoni kwa kutumia waya na kamba wakati pantoni imesimama;
  • Ili kuhakikisha kwamba staha ya pontoon haina maji na uchafu;
  • Kufuatilia mienendo na mienendo ya abiria wakiwa ndani ya pantoni;
  • Kusimamia abiria na mizigo yao na kupanga Magari ipasavyo;
  • Kufanya shughuli zingine kama vile rangi, buff na mizani kwa kushirikiana na mafundi;
  • Kushiriki katika shughuli za uokoaji kila inapohitajika au inapotokea ajali yoyote.
  • Kufanya kazi nyingine yoyote inayohusiana kama inaweza kuagizwa na msimamizi.

4:FUNDISANIFU VIYOYOZI DARAJA LA II – NAFASI 10

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Awe na Elimu ya Kidato cha nne na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya viyoyozi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au
  • Awe na Elimu ya Kidato cha Nne na kufuzu kozi ya miaka mitatu katika fani ya viyoyozi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali au

MAJUKUMU

  • Kufanya matengenezo ya Viyoyozi, majokofu na Mabarafu (Cold Rooms).
  • Kusimika mifumo mipya ya Viyoyozi, majokofu na Mabarafu
  • Kufanya ukaguzi wa mifumo iliyopo kwenye majengo ya Serikali inayohusisha Viyoyozi, Majokofu na Mabarafu.
  • Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu/Msimamizi

MASHARTI YA JUMLA

  • Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45
  • Barua za maombi ziambatishwe na nakala za vyeti husika, picha mbili ndogo (Passport Size) za Mwombaji na taarifa binafsi (Cirriculum Vitae) ya mwombaji
  • Waombaji watakaokuwa na sifa zinazohitajika ndio watakaoitwa kwenye usali
  • Barua za maombi zitumwe kwa

MENEJA WA VIVUKO,

KANDA YA MASHARIKI NA KUSINI

TEMESA,

S.L.P. 70704,

DAR ES SALAAM.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15 APRILI, 2024

 Mawasiliano

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

TEMESA HOUSE 2 Mtaa wa TEMESA 41104 Tambukareli S.L.P 1075 Dodoma Namba za simu: +255 737 962496 Namba ya bure: 0800110379 Barua pepe: [email protected] Tovuti: www.temesa.go.tz

Barua pepe : [email protected]
Nukushi : [email protected]
Telephone: +255 737 962496

TEMESA Vacancies 40 Temporary Positions,TEMESA tangazo la kazi za muda,TEMESA Vacancies April 2024, 40 Jobs at TEMESA April 2024, Nafasi za Ajira kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA April 2024.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.