NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024
NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024
NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024, Tume ya Uchaguzi NEC yatangaza Nafasi za Ajira 450 Leo January 2024, Kazi za tume ya taifa ya uchaguzi 2024, Nafasi za kazi tume ya uchaguzi 2024, NEC Tanzania Ajira
Tume ya uchaguzi Tanzania.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kazi za mkataba wa muda mfupi kwa Kada za TEHAMA na Kada ya Ununuzi na Ugavi kwaajili ya uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura.
1.KADA YA TEHAMA (Nafasi 200 – Dar es Salaam na nafasi 50 – Dodoma)
A:Sifa za mwombaji kwa Kada ya TEHAMA
- Awe na cheti cha kidato cha nne na kuendelea, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Tume itakuwa ni sifa ya ziada
- Awe na cheti cha shahada au stashahada au astashahada katika fani ya TEHAMA (ICT/IT), Electronics au Electrical inayotolewa na chuo kinachotambulika na Serikali au fani nyingine yoyote inayoendana na masuala ya TEHAMA au cheti cha kozi ya Kompyuta au mwenye ujuzi wa kompyuta
- Awe mwenye ujuzi wa kutumia Kompyuta na simu janja (Smartphone) pamoja na kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa hivyo
- Asiwe mwajiriwa katika Utumishi wa Umma
- Asiwe ametiwa hatiania kwa makosa ya jinai ndani ya miaka mitano kabla ya kuomba ajira hii na
- Awe mwadilifu na mwaminifu.
Kazi na Majukumu:-
- Kuandaa vifaa vya uboreshaji ikiwa ni pamoja na kuviunganisha na kuvichaji
- Kuweka programu mbalimbali za TEHAMA
- Kuhakiki vifaa vyote vya TEHAMA vilivyopo ofisi za Tume
- Kutoa ushauri wa kiufundi kwa watendaji wa halmashauri wakati wa utekelezaji wa shughuli zinazosimamiwa na Tume
- Kusaidiana na watumishi wa Tume katika kutoa mafunzo kwa watendaji wa halmashauri kuhusu matumizi ya TEHAMA
- Kufanya matengenezo kinga kwenye vifaa vya TEHAMA na
- Kutekeleza majukumu mengine atakayopangiwa na Msimamizi wa kaziwa sehemu husika.
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
2.KADA YA UNUNUZI NA UGAVI (Nafasi 150 – Dar es Salaam)
Sifa za Mwombaji kwa kada ya Ugavi na Ununuzii.
- Awe na cheti cha kidato cha nne na kuendelea, Mwenye uzoefu wa kufanya kazi Tume itakuwa ni sifa ya ziada
- Awe na afya njema
- Awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote
- Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa muda wote na muda wa ziada
- Mwenye cheti cha shahada au stashahada au astashahada ya masomo ya ununuzi na ugavi ni sifa ya ziada na
- Awe mwadilifu na mwaminifu.
Kazi na Majukumu
- Kuingiza taarifa za vifaa kwenye store ledger
- Kushiriki katika zoezi la kuhesabu vifaa (stock taking)
- Kutunza vifaa katika maghala ya Tume
- Kuhakikisha usalama wa vifaa na maghala
- Kupakia na kushusha vifaa
- Kufungasha vifaa mbalimbali
- Kupanga vifaa kwenye maghala
- Kufanya usafi kwenye maghala na
- Majukumu mengine atakayopangiwa na Msimamizi wake.
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
- Mwombaji awe Raia wa Tanzania na mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
- Mwombaji aambatishe nakala ya vyeti vya Elimu ya Sekondari na Taaluma vinavyohitajika kulingana na kada husika kama ilivyofafanuliwa katika tangazo hili
- Kila mwombaji aambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa au hati halisi ya kiapo
- Mwombaji aambatishe maelezo binafsi (CV) yakionesha namba yake ya simu na anuani yake ya makazi
- Mwombaji aambatishe picha zake ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni
- Mwombaji aambatishe barua iliyosainiwa na wadhamini wake watatu, anuani zao za makazi, picha zao ndogo (passport size) mbili za hivi karibuni na namba ya kitambulisho cha Taifa
- Mwombaji aambatishe barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa au Kijiji katika eneo analoishi
- Mwombaji aainishe juu ya bahasha kituo cha kazi anachoomba kupangiwa kati ya Dar Es Salaam au Dodoma na kazi anayoomba
- Tume haitahusika na gharama za usafiri na kujikimu kwa mwombaji atayeomba nje ya Mkoa anaoishi
- Tume haitahusika na gharama za safari za mwombaji wakati wa kufanyiwa usaili
- Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta
- Aidha, maombi yatakayowasilishwa kwa mkono hayatapokelewa na
- Mwombaji atakayewasilisha taarifa za kughushi atachukuliwa hatua zakisheria.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 10 Februari, 2024.
NAFASI 450 ZA KAZI TUME YA UCHAGUZI NEC JANUARY 2024 DOWNLOAD PDF
Barua zote za maombi zielekezwe kwa:-Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Uchaguzi House, Eneo la Uwekezaji Njedengwa,Kitalu D, Kiwanja Na. 4,5 Barabara ya Uchaguzi,S.L. P 358,41107 DODOMA.
Limetolewa na:-Kajima, R. K MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DODOMA.30 Januari, 20244
NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024
Nafasi za kazi tume ya uchaguzi zanzibar 2024, Ofisi za nec dar es salaam, Wajumbe wa nec, Kirefu cha nec, Historia ya tume ya uchaguzi zanzibar, Uchaguzi mdogo, Sheria ya tume ya uchaguzi tanzania,NEC online.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kazi za tume ya taifa ya uchaguzi 2024, NAFASI 450 za Kazi Tume ya Uchaguzi NEC January 2024, Nafasi za kazi tume ya uchaguzi 2024, NEC Tanzania Ajira Tume ya uchaguzi Tanzania., Tume ya Uchaguzi NEC yatangaza Nafasi za Ajira 450 Leo January 2024