RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 12/03/2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2024, Nafasi za kazi halmashauri ya Wilaya ya Handeni 2024,Kazi za halmashauri Nafasi za kazi Singida 2024,Nafasi za kazi manispaa ya singida, Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Handeni 12-03-2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2024, Nafasi za kazi halmashauri ya Wilaya ya Handeni 2024,
Kazi za halmashauri Nafasi za kazi Singida 2024,Nafasi za kazi manispaa ya singida, Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Handeni 12-03-2024.

POST MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Handeni
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-12 2024-03-26
JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
  • Katibu wa Kamati ya kijiji
  • Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
  • Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
  • Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
  • Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
  • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS B

CLICK HERE TO APPLY

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI 12-03-2024 DOWNLOAD PDF

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Handeni 12-03-2024,Nafasi za kazi watendaji wa vijiji 2024, Nafasi za kazi halmashauri ya Wilaya ya Handeni 2024,
Kazi za halmashauri Nafasi za kazi Singida 2024,Nafasi za kazi manispaa ya singida, Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Handeni 12-03-2024.Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

 UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ipo kusini mwa mkoa wa Tanga kwa nyuzi za latitude 40 9 – 60 0 kusini mwa Ikweta na longitude nyuzi 360 8 – 380 5 mashariki mwa ‘‘Greenwich’’. Kwa upande wa Mashariki Wilaya ya Handeni inapakana na Wilaya za Pangani na Muheza, upande wa Kaskazini inapakana na Wilaya za Korogwe na Simanjiro, upande wa Magharibi inapakana nz Wilaya ya Kilindi na upande wa Kusini inapakana na Wilaya ya Bagamoyo.

1.1       ENEO:

Halmashauri ya Wilaya ya Handeni ina eneo la Kilometa za Mraba 6,453 (Ha.637,925.15).  Eneo hili ni sawa na asilimia 23.59 ya eneo lote la Mkoa wa Tanga

 

HALI YA WILAYA (PHYSICAL FEATURES) NA HALI YA HEWA:

Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya HANDENI imegawanyika katika Kanda Kuu mbili nazo ni:-

Ukanda wa Juu (Miinuko na Milima michache):

Ukanda huu unaundwa na miinuko ya milima iliyotawanyika na vilele vya milima ambayo mwinuko wake ni kuanzia meta 600 hadi meta 1,200 kutoka Usawa wa Bahari na umechukua karibu asilimia 75 (4,839.75 km2) ya eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Handeni.  Kiasi cha wastani wa mm800 – mm1000 za mvua hupatikana katika Ukanda huu kwa mwaka.

Ukanda wa Tambarare:

Ukanda huu una mwinuko kati ya Meta 200 hadi Meta 400 kutoka Usawa wa Bahari na wastani wa mvua kwa mwaka ni mm 800 – 1,400. Ukanda umeenea karibu asilimia 25% (1,613.25km2) ya eneo lote la Halmashauri.

Kwa ujumla Wilaya inapata nyuzi joto la 270C mpaka 390C kwa misimu mikuu mitatu ya hali ya hewa:-

Msimu wa joto (Kuanzia mwezi Desemba – Machi)

Msimu wa Mvua (Kuanzia mwezi April – Mei)

Msimu wa Baridi (Juni – Septemba). kwa maelezo zaidi zoma hapa

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Comments are closed.