RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 19/03/2024

NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024

NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024,Nafasi za kazi kutoka wilaya ya kigamboni march 2024 download, Shule za msingi wilaya ya kigamboni, Kata za kigamboni, Ajira manispaa ya Kigamboni.

NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024

NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024,Nafasi za kazi kutoka wilaya ya kigamboni march 2024 download, Shule za msingi wilaya ya kigamboni, Kata za kigamboni, Ajira manispaa ya Kigamboni,  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA MANISPAA KIGAMBONI 19-03-2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizoorodheshwa hapo chini.

MTEKNOLOJIA MIONZI DARAJA II- (NAFASI 4)

SIFA ZA MWOMBAJI:-

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa mionzi (radiolojia) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Mabaraza pale inapohusika

MAJUKUMU YA KAZI:

  • Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi
  • Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi
  • Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality)
  • Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa
  • Kusimamia watumishi walio chini yake
  • Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
  • Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization)
  • Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
    kazi

MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (NAFASI 1)

SIFA ZA MWOMBAJI:

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za Uhandisi

MAJUKUMU YA KAZI:

  1. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa msanifu majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama ” Professional Archtect” ili kupata uzoefu unaotakiwa
  2. Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomuhusu ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayowahusu Wasanifu majengo
  3. Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za Usanifu wa Majengo
  4. Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya majengo yanayowasilishwa Wizarani

NAFASI za Kazi kutoka Wilaya ya Kigamboni March 2024,Nafasi za kazi kutoka wilaya ya kigamboni march 2024 download, Shule za msingi wilaya ya kigamboni, Kata za kigamboni, Ajira manispaa ya Kigamboni.MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (NAFASI 2)

SIFA ZA MWOMBAJI:-

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za Uhandisi

MAJUKUMU YA KAZI:

  • Kufanya kazi chini ya uangalizi wa msanifu majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama Professional Quantity Surveyor” ili kupata uzoefu
    unaotakiwa
  • Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomuhusu ili kumuwezesha Mkadiriaji Ujenzi kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili inayomuhusu
  • Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu miradi mbalimbali kuhusu bei za vifaa vya Majengo ndani na nje ya nchi
  • Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya Majengo yanayowasilishwa Wizarani na kutoa ushauri unaotakiwa

MASHARTI KWA UJUMLA:

  • Mwombaji awe raia wa Tanzania.
  • Mwombaji awe na Umri usiopungua miaka 18 na awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai, kufungwa jela na kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
  • Waombaji waambatishe maelezo yao binafsi (CV).
  • Maombi yote yaambatane na nakala ya vyeti vya taaluma, vyeti vya kidato cha nne IV au VI, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina nyuma.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa nakufanyiwa ulinganishi na Mamlaka husika TCU, NACTE na NECTA na taarifa ya uhakiki iambatishwe kwenye maombi.
  • Testimonials, provisional results, Statement of Results hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV and FORM VI RESULT SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria

NAFASI ZA AJIRA KIGAMBONI MARCH 2024 DONWLOAD PDF

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31 Machi, 2024. Saa 9.30 alasiri.

Maombi yatumwe kwa Anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi wa Manispaa,
Halmashauri ya Manispaa Kigamboni,
S.L.P. 36009,
KIGAMBONI DAR ES SALAAM.

Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni

UTANGULIZI

Wilaya ya Kigamboni imeundwa kutokana na Wilaya mama ya Temeke na ni moja kati ya Wilaya 5 zinazounda Mkoa wa Dar es Salaam. Wilaya ya Kigamboni ilianzishwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 462 la mwaka 2015 kwa lengo la kusogeza huduma kwa wananchi karibu zaidi.

 ENEO LA WILAYA

Wilaya ya Kigamboni ina eneo la kilomita za mraba 577.9 sawa na hekta 57,786.8 na ukanda wa Pwani wenye urefu wa kilometa 65.  Aidha Wilaya  ya Kigamboni kwa upande wa mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga – Mkoa wa Pwani na upande wa kaskazini inapakana na Bahari ya Hindi na upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Temeke.

 IDADI YA WATU

Kufuatia Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Wilaya ya Kigamboni ilikuwa na jumla ya watu 162,932 na kaya 40,133.  Kati ya hao wanaume walikuwa 81,199 na wanawake walikuwa 81,733. Hadi kufikia Desemba mwaka 2019, Wilaya ya Kigamboni inakisiwa kuwa na wakazi wapatoa 238,591 kati yao wanawake ni 119,686 na wanaume ni 118,905 hii ni kutokana na ongezeko la asilimia 5.6 kwa mwaka.

Dira na Dhima

Mission

To provide high quality socio – economic services to the community through efficient and effective use of resources and good governance for improving living standards.

Vision

A well –Educated community with better livelihood by the year 2022.

Objectives

A.    Improve service and reduce HIV/AIDS infection

B.    Enhance, sustain and effective implementation of the National Anti-corruption Strategy

C.    Access, quality and equitable social service delivery improved

D.    Quality and Quantity of Socio –economic  services and Infrastructure increased.

E.    Good Governance and Administrative services enhanced

F.    Social welfare, gender and community improvement improved

G.    Emergency and Disaster Management improved

H.    Sustainable utilization of natural resources and environmental conservation enhanced

Nafasi za kazi halmashauri 2024, Manispaa ya kigamboni address,Majina ya tarafa za kigamboni, Ajira portal, Madiwani wa kigamboni, Kigamboni Municipal Council Postal address, Shule za sekondari wilaya ya kigamboni, Ramani ya wilaya ya kigamboni.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.