NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Kisarawe March 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Kisarawe March 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Kisarawe March 2024, Tangazo la Nafasi ya Kazi ya Mkataba Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe 27-03-2024,Nafasi za kazi kutoka wilaya ya kisarawe march 2024 download, Nafasi za kazi halmashauri 2024, NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE, Kata za wilaya ya kisarawe.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe amepokea kibali cha Ajira ya Mkataba chenye Kumb. Na. FA.97/228/02”A”/131 cha tarehe 07 Februari, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, hivyo anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza
nafasi ya Afisa Usafirishaji Daraja la II.
AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (NAFASI 1).
SIFA ZA MWOMBAJI.
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usafirishaji kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
KAZI NA MAJUKUMU.
- Kutayarisha gharama za uendeshaji wa usafiri kwa ajili ya kusaidia kutoa maamuzi.
- Kuhakikisha kuwa, takwimu na kumbukumbu zinazohusu vyombo vya usafiri pamoja na mitandao yake zinatunzwa vyema na kwa usahihi.
- Kuandaa takwimu zinazohusu mandeleo ya ukuaji wa Sekta ya usafirishaji, na kuwasilisha kwa
watumiaji ndani na nje ya Nchi. - Kukusanya takwimu za usafirishaji Nchini.
- Kukadiria na kushauri juu ya utendaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya usafirishaji.
- Kutekeleza majukumu mengine yanayohusu sekta ya usafirishaji.
MSAHAHARA
Mshahara utalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali katika ngazi ya TGS D
MASHARTI YA JUMLA.
- Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na wasiozidi miaka 45.
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliojitosheleza Curriculum Vitae (CV) yenye anuani inayotumika, namba ya simu na anuani ya barua pepe (E.mail
address) pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika. - Matokeo ya muda (Provisional/Testimonials/Statement of Result) havitakubaliwa.
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
mwanasheria/wakili. - Waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma vilivyothibitishwa na
mwanasheria/wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne, kidato cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. - Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimethibitishwa na mamlaka husika (NACTE/TCU na NECTA).
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
- Barua ya maombi itatakiwa iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza.
- Waombaji wote waambatishe nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) – Kwa ambao hawana vitambulisho, namba za NIDA ziandikwe kwenye maelezo binafsi
(CV). - Mtumishi atakayeajiriwa atapewa mkataba wa mwaka mmoja (1).
- Anaweza kuongezewa mwaka mmoja (1) mwingine kutegemea na utendaji kazi wake (Renewable Once)
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa kutumia anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,
S.L.P 28001,
KISARAWE.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 09 APRILI 2024 SAA 9:30 ALASIRI.
Maombi ambayo yatawasilishwa kwa njia ya mkono hayatashughulikiwa.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA KISARAWE DONWLOAD PDF
Nafasi za Kazi halmashauri ya Kisarawe,
Nafasi za Kazi halmashauri ya wilaya ya Mvomero, Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe, Historia ya wilaya ya kisarawe,Vijiji vya wilaya ya kisarawe, Nafasi za Kazi halmashauri ya Kisarawe,Ramani ya wilaya ya kisarawe, Kata za wilaya ya kisarawe, Shule za sekondari wilaya ya Kisarawe, Sanduku la posta la wilaya ya kisarawe, Hospitali ya wilaya ya mkuranga, Kata za wilaya ya mkuranga, Kisarawe district announcement, Ramani ya wilaya ya bagamoyo, Anuani ya mkuu wa wilaya kisarawe.
About Nijuze Habari Blog
About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.
Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.
Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.
Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki
Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.
About Nijuze Habari Blog
Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.
Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.
Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kata za wilaya ya kisarawe., Nafasi za kazi halmashauri 2024, NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE, NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Kisarawe March 2024, Nafasi za kazi kutoka wilaya ya kisarawe march 2024 download, Tangazo la Nafasi ya Kazi ya Mkataba Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe 27-03-2024