RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 22/03/2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024,NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, Kata za wilaya ya mbozi, Shule za msingi wilaya ya mbozi, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Tangazo la Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi 20-03-2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024,NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, Kata za wilaya ya mbozi, Shule za msingi wilaya ya mbozi, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Tangazo la Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi 20-03-2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anawatangazia nafasi ya kazi ya Dereva Daraja la II. Nafasi hii ya ajira inatokana na kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa barua Kumb.Na.FA.228/613/01/A/082 ya tarehe 12 Februari, 2024.

1.0. DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 1)

1.1 SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

1.2 KAZI NA MAJUKUMU

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari.
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi.
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari.
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali.
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari.
  • Kufanya usafi wa gari na
  •  Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024,NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, Kata za wilaya ya mbozi, Shule za msingi wilaya ya mbozi, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Tangazo la Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi 20-03-2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Mbozi March 2024

1.3 MSHAHARA
Mshahara atalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGS B1

2.0 MASHARTI YA JUMLA

  • Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na wasiozidi miaka 45.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira aina ya ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
  • Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza Curriculum Vitae (CV) yenye Anuani inayotumika, namba ya simu na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya Wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.
  • Matokeo ya muda (Provisional/ Testimonials/Statement of Results) havitakubaliwa.
  • Waombaji wote waambatanishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi ya kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na.CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
  • Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimethibitishwa na Mamlaka husika (NACTE na NECTA).
  • Uwasilishaji wa Taarifa na Sifa za kughushi, wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
  • Barua ya maombi itatakiwa iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza.
  • Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 04/04/2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo jelekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi,
S.L.P 03,
MBOZI.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye mfumo wa kieletroniki wa Ajira Portal) (Recruitment kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/advert/index anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”.
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioanishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

CLICK HERE TO APPLY

Vijiji vya wilaya ya mbozi, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha,Nafasi za kazi Dar es Salaam, Nafasi za kazi binafsiz Ajira portal, Historia ya wilaya ya mbozi, Mbozi District Profile, Mbozi District Council address.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Comments are closed.