RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024 

Filed in Ajira, Michezo by on 08/03/2024

NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024 

NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024,Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 vacancy, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 salary, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 application form, Ajira portal, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo,NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii.

NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024

NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024,Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 vacancy, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 salary, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 application form, Ajira portal, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo,
NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii.

POST AFISA UTUMISHI DARAJA LA II – 3 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-08 2024-03-21
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote katika Wizara, Mikoa, Wilaya na Idara zinazojitegemea kulingana na mahali alipo;
  • Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya utumishi;
  • Kutafiti, kuchanganua na kukadiria idadi ya watumishi wanaohitaji mafunzo;
  • Kuandaa na kupanga mipango ya mafunzo ya muda mfupi na mrefu;
  • Kukadiria na kupanga mahitaji ya vifaa vya mafunzo kwa kushirikiana na vyuo vilivyopo chini ya sekta zinazohusika; na
  • Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu mipango ya watumishi.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-03-2024 DOWNLOAD PDF

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo:-

Menejimenti ya Raslimali Watu, Mipango ya watumishi, Utawala na Uongozi, na Elimu ya Jamii na awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION TGS.D

NAFASI za Kazi UTUMISHI 08-03-2024,Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 vacancy, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 salary, Nafasi za kazi utumishi 08 03 2024 application form, Ajira portal, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo,
NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii.MASHARTI YA JUMLA.

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwaajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma;
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa;
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazikwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne na kidatocha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.

– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
– Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
– Computer Certificate
– Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
– Cheti cha Kuzaliwa

  • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 21 Machi, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
S.L.P. 2320 DODOMA.

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).

CLICK HERE TO APPLY

Nafasi za kazi binafsi, Nafasi za kazi Dar es Salaam, AJIRA LEO, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha,Nafasi za kazi TAMISEMI, Ajira yako Leo.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.