RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 12/03/2024

NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024

NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za kazi wilaya ya kishapu march 2024 download Pdf, Nafasi za kazi halmashauri ya Ushetu.

NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024

NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za kazi wilaya ya kishapu march 2024 download Pdf, Nafasi za kazi halmashauri ya Ushetu.

POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-12 2024-03-25
JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
  • Katibu wa Kamati ya kijiji
  • Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
  • Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
  • Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
  • Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
  • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS B

CLICK HERE TO APPLY

POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-12 2024-03-25
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 80 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS.C

CLICK HERE TO APPLY

NAFASI za Kazi Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu March 2024, Nafasi za kazi wilaya ya kishapu march 2024 download Pdf, Nafasi za kazi halmashauri ya Ushetu.Historia ya Wilaya ya Kishapu

Uanzishwaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.

Wilaya ya Kishapu ilianzishwa Julai 1, 2002 kama matokeo ya mgawanyiko wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Mnamo Julai 1, 2006, Halamshauri ilianzaishwa rasmi baada ya kutangazwa kutoka Gazeti la Serikali la Julai 29, 2005 na Na. 220 ya GN.

Eneo na Wilaya

Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ni kati ya wilaya tatu ambazo zinaunda Mkoa wa Shinyanga ambapo wilaya nyingine ni Kahama na Shinyanga. Wilaya hiyo inapakana na Wilaya ya Meatu (Simiyu) na Iramba (Singida) katika upande wake wa mashariki na Shinyanga upande wa magharibi, Igunga upande wa kusini, Kwimba na Maswa kwa upande wa kaskazini.

Eneo la Wilaya

Wilaya ina kilomita ya mraba 4,333 ambayo ni sawa na asilimia 8.5 ya eneo la Mkoa wa jumla ambayo iko kilomita za mraba 50,781. Eneo lote la makazi ya binadamu ni kilomita ya mraba 1,536.4 ambayo ni asilimia 35.5 ya eneo la jumla, Eneo la shughuli za Kilimo ni 1,898.33 ambalo ni 43.8 ya eneo la jumla. Eneo la kutunza mifugo ni kilomita za mraba 747.02 ambazo ni asilimia 17.2 ya jumla ya eneo hilo, eneo la misitu ni kilomita za mraba 100.78 ambayo ni asilimia 2.3 ya eneo la jumla na eneo la asilimia ni 50.47 ambayo ni asilimia 1.2 ya jumla eneo.

Eneo la Utawala

Wilaya ina tarafa tatu 3, kata 29 na Vijiji 117 ambapo ina jimbo moja la uchaguzi uchaguzi. Wilaya imefanikiwa kuanzisha Mamlaka mji mdogo wa Kishapu.

Mkurugenzi wilaya ya kishapu contacts, Katibu tawala wilaya ya kishapu, Ramani ya kishapu, Ramani ya wilaya ya kahama,Tajiri wa kwanza wilaya ya kahama, Afisa tawala wa wilaya, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Manispaa za tanzania, Vijiji vya kishapu, Jina la mkuu wa WILAYA SHINYANGA.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Comments are closed.