NAFASI za Mkemia Mkuu wa Serikali GCLA March 2024
NAFASI za Mkemia Mkuu wa Serikali GCLA March 2024
NAFASI za Mkemia Mkuu wa Serikali GCLA March 2024,Nafasi za mkemia mkuu wa serikali march 2024 application, Kazi ya mkemia MKUU wa SERIKALI, Mkemia mkuu wa serikali dodoma, Mkemia mkuu wa serikali in english, Mkemia mkuu wa serikali address.
POST LABORATORY ASSISTANT II – 1 POST
EMPLOYER Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA)
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-08 2024-03-21
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- To collect and preserve varied samples for analysis from specific locations according to a predetermined schedule;
- To assist in collection of samples as conditions indicate;
- To prepare samples for laboratory testing;
- To assist in preparation of chemicals, bacteriological media, stains and standard test solutions;
- To clean and maintain laboratory, equipment and instruments; washes, cleans and sterilizes glassware and bacteriological supplies; and
- To perform any other related duties as may be assigned by supervisor.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holders of Certificate in one of the following fields: Laboratory Science and Technology, Biotechnology and Laboratory Sciences or equivalent qualifications from a recognized Institution.
REMUNERATION GCS 2
CLICK HERE TO APPLY
NAFASI za Mkemia Mkuu wa Serikali GCLA March 2024
Mamlaka ya Mabaara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (MMS) ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Na.8 ya Mwaka 2016.Pamoja na majukumu mengine, Sheria ya Mamlaka inaipa jukumu Mamlaka ya kuwa chombo cha juu na Maabara ya Rufaa katika masuala yote yanayohusu uchunguzi wa sayansi jinai na huduma za vinasaba, ubora wa bidhaa na usimamizi wa kemikali.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imepitia mabadiliko mbalimbali kutoka kuwa Idara ndani ya Wizara, Wakala kati ya mwaka 1999-2016 na kuwa Mamlaka kuanzia tarehe 5 Aprili,2017 hadi sasa.
Kihistoria Mamlaka hii ilianza kama kituo cha kufanya utafiti wa magonjwa ya ukanda wa joto kwenye maabara ya taifa mwaka wa 1895 na baadae kuhamishiwa Wizara ya Afya baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mwaka 1947.
Kati ya mwaka 1947-1959 Maabara ilihamishiwa Wizara ya Kilimo na Maliasili na kutoka mwaka 1958 hadi sasa Maabara ipo chini ya Wizara yenye dhamana ya Afya. Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa Mamlaka imeimarisha utekelezaji mzuri wa majukumu yake, kufikiwa kwa malengo, dhima na dira yake, hivyo kuchangia jitihada za Serikali katika kuboresha ustawi wa watu wake na mazingira
2.MAJUKUMU MAKUU
Majukumu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ni kama yalivyoorodheshwa chini ya Sheria ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Na. 8 ya Mwaka 2016. Majukumu hayo ni:
- Kufanya shughuli za utafiti, uchunguzi wa maabara na kutoa ushauri kwa Serikali kwenye masuala yanayohusiana na uchunguzi wa sayansi jinai toksikolojia, sayansi jinai baiolojia na vinasaba, sayansi jinai kemia, vyakula, dawa usalama mahali pa kazi, kemikali za viwandani na bidhaa zake na sampuli za mazingira kwa ajili ya kutekeleza afua za afya, sheria, ustawi wa jamii na mazingira;
- Kuanzisha, kusimamia na kudhibiti uendeshaji wa Kanzidata ya Taifa ya Vinasaba vya Binadamu kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba, Sheria ya Mamlaka na Sheria;
- Kuratibu Programu za Taifa za usimamizi wa kemikali, sayansi jinai na huduma za vinasaba;
- Kusimamia Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Sumu;
- Kusimamia na kuendesha mafunzo na programu za Elimu kwa Umma katika masuala yanayohusiana na usimamizi wa kemikali, huduma za vinasaba na masuala mengine yanayosimamiwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Na. 8 ya Mwaka 2016;
- Kutengeneza na kutoa mwongozo, maelekezo,fursa, mafunzo na kuwaandaa wanasayansi ndani na zaidi ya utaalam wa majukumu ya Mamlaka;
- Kukusanya kutambua na kuchunguza kisayansi vielelezo vinavyohusiana na masuala ya kisheria;
- Kusajili, kusitisha au kufuta maabara za kemikali, sayansi jina na vinasaba vya binadamu;
- Kusajili, kusitisha au kufuta kemikali za viwandani, kemikali za majumbani au wadau wa kemikali;
- Kufuta vibali vya utafiti au leseni za Vinasaba;
- Kubatilisha na kutoa maelekezo au uteketezaji wa vitu, kemikali na mazao ya kemikali;
- Kumshauri Waziri kuhusu uteuzi wa wakaguzi, maafisa uchukuaji sampuli na wachunguzi wa maabara wa serikali
- Kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa maabara
- Kuchukua sampuli na kufanya uchunguzi kwenye masuala yenye maslahi ya kitafia au umma au jamii kwenye uchunguzi wa sayansi jinai, ubora wa bidhaa na usimamizi wa kemikali kadri itakavyohitajika;
- Kufanya ukaguzi kwenye maeneo au huduma zinazosimamiwa na Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali
- Kutekeleza majukumu mengine yoyote kama atakavyoelekeza Waziri.
1.DHIMA na DIRA
- Dira
Kuwa maabara ya uchunguzi yenye hadhi duniani kwa ajili ya kushughulikia maswala ya afya, ustawi wa jamii na mazingira
- Dhima
Kutoa huduma bora za uchunguzi wa kimaabara na udhibiti zenye ubora na gharama nafuu kwa serikali, taasisi, asasi na umma kwa ujumla kwa dhumuni la kulinda afya ya binadamu na mazingira.
2.MISINGI MIKUU
Katika kutoa huduma bora Mamlaka (GCLA) itaongozwa na misingi mikuu minane ambayo ni:
- Kutoa Huduma Bora– Tunaamini ikatika kutoa huduma bora na kumridhisha mteja. Tutatumia rasilimali tulizonazo kwa kufuata utaalam na utoaji huduma bora. Tutakuwa wasikivu kulingana na mahitaji na matakwa ya mteja. Jina la Mamlaka ya Maabra ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye soko litaendana na ubora, uwajibikaji na umahiri.
- Tunaamini katika umahiri na weledi katika jitihada zetu za kuokoa na kulinda uhai.
- Tunaamini katika uwajibikaji na kuwajibika kwa matendo yetu wakati wa kutekeleza majukumu yetu
- Utaalam – Tunaamini katika moyo wa ushirikiano ili kuendelea kutoa huduma bora na zenye ufanisi. Mchango wa kila mmoja utapewa kipaumbele na kuthaminiwa. Timu zitaundwa na wataalam toka ngazi mbalimbali za kiuongozi na kisayansi. Kwa muktadha huo tutashirikiana na wataalam wenzetu, washirika, wakati tukiheshimu mawazo mtambuka na misingi mbalimbali ya majadiliano kuhusu njia mbadala na mwisho kwa pamoja kufikia suluhisho bora la kuendesha Maabara hii ya Serikali.
- Utofauti – Tunaamini katika utofauti. Sera zetu zitaakisi imani ya usawa na haki kwenye kuweka mazingira mazuri kwa watu wenye misingi tofauti ya kiutamaduni, elimu na jinsi, kufanya kazi kulingana na taaluma zao na kuridhika na kazi.
- Uwazi – Tunaamini katika kubadilishana taarifa ndani na nje ya Taasisi.Tutajitahidi kutambua ushirikishwaji katika kufanya maamuzi. Tutawasiliana na wateja na wadau wetu kwa kujituma na kuwajibika.
- Uaminifu kwa Serikali – Tutakuwa waaminifu kwa Serikali iliyoko madarakani na kutekeleza Sera na maelekezo ya kisheria yanayotolewa na Waziri na viongozi wengine wa Serikali
- Uadilifu-Tukiwa kama Mamlaka yenye dhamana ya kusimamia uchunguzi wa sayansi jinai, huduma za vinasaba, usajili wa kemikali, wadau na maabara, kila mtumishi wa Mamlaka ana wajibu wa kuonyesha kiwango cha juu cha uadilifu ili kutoa msukumo wa kujiamini na kuaminiwa.
Mkemia mkuu wa serikali zanzibar, Gcla portal, Gcla chemical registration form, GCLA Tanzania, Maabara ya taifa tanzania contact number, Gcla permit Government Chemist Laboratory Authority Act.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kazi ya mkemia MKUU wa SERIKALI, Mkemia mkuu wa serikali address., Mkemia mkuu wa serikali dodoma, Mkemia mkuu wa serikali in english, NAFASI za Mkemia Mkuu wa Serikali GCLA March 2024, Nafasi za mkemia mkuu wa serikali march 2024 application