RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE

Filed in Ajira, Michezo by on 28/03/2024

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE, Mfumo wa Mahojiano wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS, Mfumo wa Usaili wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS Ajira Portal, Mfumo wa AOTS Tanzania, Mfumo wa AOTS Sekretarieti ya Ajira.

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE, Mfumo wa Mahojiano wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS, Mfumo wa Usaili wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS Ajira Portal, Mfumo wa AOTS Tanzania, Mfumo wa AOTS Sekretarieti ya Ajira.

Sekretarieti ya Ajira imezindua mfumo wa usaili wa kidijitali (AOTS) ambao utamwezesha mwombaji kuhojiwa mahali alipo badala ya kusafiri umbali mrefu, ili kupunguza gharama kwa Serikali na wasailiwa.

Hayo yamebainishwa Machi 23, 2024 Jijini Dodoma, katika kikao cha kazi cha kutambulisha mfumo huo kwa wakuu wa IT wa Serikali, sekta ya binafsi na vyuo vikuu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Mfumo huo utaanza kutumika rasmi Aprili 6, mwaka huu.

Akizungumza kwenye kikao kazi hicho, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka watumishi wa Sekretarieti ya Ajira kuwa waadilifu na waaminifu kwenye mchakato wa kutoa ajira kwa kuwa suala hilo ni nyeti na linagusa usalama wa Taifa.

Simbachawene amesema suala la ajira ni maisha ya watu, hivyo mchakato wake utawaliwe na uwazi na uadilifu ili kuondoa manung’uniko kwa wale ambao wanatafuta ajira serikalini.

Amesema mfumo huo utasaidia kupunguza gharama za wasailiwa ambao walikuwa wanalalamika kusafiri umbali mrefu kwenda kwenye kituo cha usaili kwa kutumia muda mwingi na gharama kubwa, halafu mwisho wa siku wanakosa ajira.

“Unakuta mtu anasafiri kutoka Lindi kuja Dodoma kwa ajili ya usaili, wakati mwingine anafika hata hajui atafikia wapi, nauli yenyewe amekopa halafu anafika anatakiwa akae siku tatu za usaili. Unakuta hata saikolojia yake haiko vizuri, lakini kwa mfumo huu utasaidia kupunguza gharama ambazo mwanzo zilisababisha wengi kushindwa kwenda kwenye vituo vya usaili,” amesema Simbachawene.

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE, Mfumo wa Mahojiano wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS, Mfumo wa Usaili wa Kidijitali wa Utumishi (AOTS), Mfumo wa AOTS Ajira Portal, Mfumo wa AOTS Tanzania, Mfumo wa AOTS Sekretarieti ya Ajira.

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE

Waziri amesema pamoja na mlolongo huo, lakini mwisho wa siku mtu anakosa ajira wakati ametumia gharama kubwa kwa ajili ya usaili, hali iliyokuwa inasababisha manung’uniko miongoni mwa wasailiwa.

Amewataka watumishi wa Sekretarieti ya Ajira kutenda haki kwa wote wanaotafuta ajira nchini ili wasiharibu usalama wa Taifa.

Ametoa mfano wa usaili wa nafasi za kazi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Mamlaka ya Mapato (TRA) ambao ulizua taharuki kubwa nchini kwa kukusanya vijana wengi kwa wakati mmoja na wakati idadi iliyokuwa inatakiwa ilikuwa ndogo.

“Ule usaili ulizua taharuki kubwa kwa sababu TPA ilikuwa inahitaji watu 1,500 lakini waliojitokeza walikuwa ni 14,000 na TRA ilikuwa inahitaji watu 2,100 lakini waliojitokeza walikuwa 36,000. Hii ni hatari kubwa, watu 36,000 kuingia kwa wakati mmoja kwenye mkoa mmoja na wengine walikuwa wanalala stesheni na wengine stendi wakati wanasubiri matokeo ya usaili wao,” amesema.

Amesema mfumo huo ukifanya kazi vizuri utaingizwa pia kwenye sekta za elimu na afya ili wanapoajiri watumie mfumo huo wa usaili.

Kaimu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Ajira, Innocent Bomani amesema mfumo huo utawawezesha waombaji kufanya usaili kwenye vituo vilivyotengwa katika mikoa yao badala ya kusafiri kwenda mingine.

Amesema hiyo itapunguza gharama za umbali na nauli ambazo wasailiwa walikuwa wanatumia.

Katibu Msaidizi wa Miundombinu ya Tehama kutoka Sekretarieti ya Ajira, Mtage Ugullum amesema kati ya vituo 154 vilivyotengwa kwa ajili ya usaili nchi nzima, 119 ndiyo vilivyokuwa na sifa vyenye kompyuta 8,375 zilizokuwa na mtandao wa intaneti.

Amesema usaili wa kwanza kutumia mfumo huo utafanyika Aprili 6, 2024 ambao utakuwa kwa ajili ya kuwapata maofisa Tehama.

UTUMISHI Yazindua Mfumo wa Usaili ONLINE, Utumishi Online Digital Interview System (AOTS), www.utumishi.go.tz 2024, Ajira portal registration, Ajira portal Vacancies, Utumishi Portal registration, Ajira portal news, Recruitment portal login, Utumishi Portal Login for Interview Ajira Portal,AJIRA LEO Portal Ajira, TRA ajira portal, AJIRA portal news today on Recruitment.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.