RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 20/02/2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Names Called for Interview Utumishi at Various Sectors Released February 19-2024, Utumishi Portal.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Names Called for Interview Utumishi at Various Sectors Released February 19-2024, Utumishi Portal.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), MDAs & LGAs, Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO), Shirika la Nyumbu (TATC), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20-02-2024 hadi 04-03-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA 19-02-2024, Names Called for Interview Utumishi at Various Sectors Released February 19-2024, Utumishi Portal.

MAJINA ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024

Wasailiwa wanaoitwa kwenye
usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za
    Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa
    nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

Kuona Majina ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI 19-02-2024 bonyeza hapa

Orodha ya Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo,AJIRA portal news today on Recruitment, TRA ajira portal, Public Service Recruitment Portal, Recruitment portal login Call for Interview Ajira Portal, Ajira portal, Ajira portal login, Sekretarieti ya ajira, AJIRA LEO, Ajira portal news, Ajira portal Vacancies.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Comments are closed.