MAANA ya Saratani
MAANA ya Saratani
MAANA ya Saratani, Saratani Ni Nini, Kinga ya kansa, Maana ya saratani wikipedia, Dalili za kansa ya kizazi kwa mwanamke, Saratani ya koo,Maana ya saratani age, Dalili za kansa ya mguu, Kidonda cha kansa,Dalili za kansa ya koo, Aina za kansa, Dalili mbaya za kansa, Dalili za kansa ya damu,Gharama za matibabu ya kansa.
Miili yetu ina chembechembe hai nyingi ambazo huzaliana, hukua, na kufa kwa mpangalio maalum
Chembechembe hizi zinapobadirika na kuanza kuzaliana na kukua katika utaratibu ambao sio wa kawaida ndio zinasababisha saratani.
Chembe chembe za Saratani hufuata mfumo huo usio wa kawaida – zinazaliana haraka zaidi bila mpangilio na kukua kwa haraka zaidi na wakati mwingine kuwa na umbile kubwa zaidi.
Chembechembe hizi za saratani zisipodhibitiwa/zisipotibiwa mapema zina uwezo wa kusambaa na kuota sehemu nyingine ya mwili wa mhusika –
AINA ZA SARATANI
Saratani ni uvimbe unaojitiokeza mahala popote katika mwili wa binadamu, uvimbe huu hauna maumivu yoyote mwanzoni
Saratani zipo za aina nyingi sana na majina yake hutegemea kiungo kilichougua na aina ya chembechembe hai zilizoshambuliwa
Kiungo chochote chaweza shambuliwa, mfano
- Shingo ya mfuko wa kizazi
- Matiti
- Ngozi
- Koo na njia ya chakula Tumbo, utumbo, kongosho, ini
- Kibofu cha mkojo na tezi dume
- Mapafu ,ubongo,macho, mifupa,misuli
- Matezi hasa kwa watoto
- Damu
- N.K.
NINI KINASABAISHA SARATANI / VIASHIRIA HATARISHI
Hakuna sababu moja pekee ambayo husababisa saratani, bali ni mchanganyiko wa vitu vingi vinavyotuzunguka ikiwemo Viumbe hai, Kemikali, na aina ya maisha tunaishi kila siku
Saratani tofauti zina vyanzo vyake tofauti
Mfano
VISIVYOZUILIKA
Jinsia, umri, uwezekano wa kurithi mionzi ya jua??
VINAVYOZUILIKA
- Matumizi ya kemikali au Mionzi
- Uvutaji wa sigara
- Maambukizi ya baadhi ya vimelea :virus , bacteria, fangasi
- Matumizi Makubwa ya pombe
- Matumizi ya kemikali na mionzi
- Ulaji mbovu: mafuta mengi, nyama nyekundu kwa wingi n.k
- Kutofanya mazoezi
- Unene uliokithiri
- Madawa, sumu ya kuulia wadudu
- Wasichana kuanza ngono katika umri mdogo
DALILI ZA AWALI
- Kila Saratani huwa na dalili zake kutokana na ilipoanzia
- Mara nyingi saratani haina maumivu mwanzoni na ni ngumu kugundua hasa kamma iko kwa ndani
- Uvumbe sehemu yoyote ya mwili
- Mafindofindo
- Mabadiliko ya haja kubwa au ndogo
- Kidonda ambacho hakiponi
- Damu kutoka bila mpangilio au uchafu usio wa kawaida kutoka sehemu za siri(uke)
- Shida kumeza au kupumua
DALILI NYINGINE
- Sauti inayokwama kwama
- Kuvimba mdomo kwa watoto
- Kuvimba tumbo kwa watoto
KUCHELEWA TIBA
- Mgonjwa asipotibiwa mapema saratani huwa kubwa zaidi, na kufanya kidonda
- Maumivu makali
- Kusambaa katika viungo vingine vya mwili hasa:
- Mapafu – Kukohoa na Maumivu
- Maini – Kujaa Tumbo, Macho kuwa ya njano na maumivu
- Mifupa – Maumivu / Kuvunjika ovyo
- Kupoteza kiungo/Viungo vya mwili
UHAKIKI WA SARATANI
Saratani inahakikiwa kwa njia ya kutoa kinyama au ute wa chembechembe husika na kupimwa katika maabara maalum (PATHOLOGY LABORATORY)
Vipimo vingi vya maabara au Radiologia vinaonyesha tu mabadiriko yenye kuashiria uwezekano na siyo uhakiki.
TIBA YA SARATANI KWA UJUMLA
Tiba za kitaalam zilizohakikishwa ni:
- Upasuaji
- Dawa za mshipa/dripu, vidonge
- Mionzi
- Tiba ya vichochezi/HOMONI
- Tiba hizi hutumika kwa mchanganyiko kwa kutegemea aina ya saratani, hatua ya ugonjwa na hali ya kiafya ya mgonjwa.
- Tiba mpya: targeted & Gene therapy
KUPUNGUZA / KUZUIA UWEZEKANO WA KUPATA SARATANI KWA UJUMLA
- EPUKA Viashiria hatarishi vinavyozuilika (66% ya saratani zinazuilika)
- Jiepushe na uvutaji wa sigara
- Epuka unene uliopitiliza
- Fanya mzoezi mara kwa mara
- Ulaji bora: epuka matumizi ya mafuta mengi na nyama nyekundu kwa wingi, tumia matunda na mbogamboga kwa wingi
- Epuka matumizi ya pombe kwa wingi
- Jikinge na mionzi ya jua, hasa watu wenye ualbino.
- Jenga mazoea ya kupima afya mara kwa mara
- Chanjo kwa saratani zenye chanjo mfano,chanjo ya homa ya ini (HBV) na mlango wa kizazi(HPV)
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Aina za kansa, Dalili mbaya za kansa, Dalili za kansa ya damu, Dalili za kansa ya kizazi kwa mwanamke, Dalili za kansa ya koo, Dalili za kansa ya mguu, Gharama za matibabu ya kansa., Kidonda cha kansa, Kinga ya kansa, MAANA ya Saratani, Maana ya saratani age, Maana ya saratani wikipedia, Saratani Ni Nini, Saratani ya koo