RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024 

Filed in Ajira, Michezo by on 08/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024 

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024, New Government Jobs Dodoma at MPWAPWA District Council March 2024,New Jobs at Mpwapwa District Council,Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa March 2024, MTENDAJI WA KIJIJI III at Mpwapwa District Council March 2024, Nafasi za kazi mtendaji wa mtaa Kijiji na kata AJIRA.

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024, New Government Jobs Dodoma at MPWAPWA District Council March 2024,New Jobs at Mpwapwa District Council,Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa March 2024, MTENDAJI WA KIJIJI III at Mpwapwa District Council March 2024, Nafasi za kazi mtendaji wa mtaa Kijiji na kata AJIRA.

POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-07 2024-03-21
JOB SUMMARY NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
  • Katibu wa Kamati ya kijiji
  • Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
  • Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
  • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
  • Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
  • Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
  • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024, New Government Jobs Dodoma at MPWAPWA District Council March 2024,New Jobs at Mpwapwa District Council,Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa March 2024, MTENDAJI WA KIJIJI III at Mpwapwa District Council March 2024, Nafasi za kazi mtendaji wa mtaa Kijiji na kata AJIRA.QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS B

CLICK HERE TO APPLY

NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024

Historia

Jiografia  ya wilaya ya Mpwapwa

Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ni miongoni mwa Halmashauri nane (8) za Mkoa wa Dodoma. Makao makuu yapo umbali wa km.120 kutoka makao makuu ya Mkoa wa Dodoma.

Halmashauri ipo kati ya latitude 6°00” na 7°00” Kusini mwa mstari wa Ikweta na Longitudo 35°45” na 35°00” Mashariki mwa mstari wa ‘Greenwich’.

Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa upande wa kaskazini, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa upande wa magharibi. Upande wa mashariki inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa (mkoa wa Morogoro) na kusini inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa (Mkoa wa Iringa).

Ukubwa wa eneo 

Wilaya ina eneo la kilometa za mraba 7,479 sawa na (18.35%) ya eneo lote la Mkoa wa Dodoma.  Eneo hili ambalo ni sawa na hekta 737,900 linatumika kwa shuguli za kilimo, ufugaji, hifadhi ya misitu na makazi

Muundo wa Halmashauri ya Wilaya Kiutawala

Halmashauri ya Wilaya ina Majimbo 2 ya Uchaguzi, Tarafa 4, Kata 33, Vijiji 113, Vitongoji 575 na Mitaa 18.

 Idadi ya Watu

Kutokana na Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Halmashauri ya Wilaya ilikadiriwa kuwa na wakazi 305,056 ambapo Wanaume wakiwa 147,306 (48.3%), Wanawake 157,750 (51.7%) na Kaya 66,316. Aidha, kwa mwaka 2016 kwa kutumia ukuaji wa asilimia 2.1, inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 331,500 kati yao Wanaume 162,435, na Wanawake 169,065 wanaoishi katika Kaya 72,065. Mgawanyo wa idadi ya watu kitarafa kwa ulinganisho wa Idadi ya Watu Matokeo ya Sensa ya Mwaka 2012 na makadirio ya watu mwaka 2016

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.