RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 13/03/2024

 MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe March 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuko Kikuu Cha Mzumbe March 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024.

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024

MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe March 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuko Kikuu Cha Mzumbe March 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024.

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Mzumbe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19-03-2024 hadi 20-03-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-MAJINA ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe March 2024, Kuitwa Kwenye Usaili Chuko Kikuu Cha Mzumbe March 2024,Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe 13-03-2024.

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
  • Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU MZUMBE 13-03-2024 DOWNLOAD PDF

Mzumbe University was established by the Mzumbe University Charter, 2007 under Section 25 of the Universities Act. No. 7 of 2005 which repealed Mzumbe University Act. No 9 of 2001. As a Training Institute, the University boasts of over 50 years experience of training in the administration of justice, business management, public administration, accountancy, finance, political science and good governance.

Mzumbe University origin can be traced back to 1953 when the British Colonial Administration established a Local Government School in the country. The school was aimed at training local Chiefs, Native Authority Staff and Councilors. The level of training was elevated after Tanzania (Tanganyika) independence to include training of Central Government Officials, Rural Development Officers and local Court Magistrates. In 1972, the then Local Government School was merged with the Institute of Public Administration of the University of Dar es Salaam to form the Institute of Development Management (IDM-Mzumbe). IDM was a higher learning institution for training professional managers in the public and private sectors.

Given the natural growth of the Institute over the years of successful operation and the changing national and international human resource needs, the Government transformed it into fully fledge public University. This was made under the Act of Parliament No.21 of 2001. In December 2006, the Mzumbe University Act No 21 of 2001 was repealed by the Universities Act of Tanzania No. 7 of 2005 and replaced by the Mzumbe University charter, 2007 which now guide the operations and management of the University. The mandate of the University as stipulated in the Mzumbe University Charter, 2007 focuses on training, research, publications and public service cum consultancy.

The Mission of the University is to provide opportunities for acquisition, development, preservation and dissemination of knowledge and skills through training, research, technical and/or professional services.

Vision

Mzumbe University is recognized as a leading institution in Africa for demand driven knowledge generation, application, preservation and dissemination for socio-economic development by 2025.

Core Values

The building of a cohesive and binding organizational culture is a fundamental pre-requisite for the sustainable development of the University. The following are the core values which guides Mzumbe University’s organizational culture.

  • Transparency: Being transparent in all our work and dealings and stands ready for public scrutiny.
  • Accountability: Being accountable to our stakeholders and to the community for the mandate and responsibilities bestowed upon us.
  • Creativity and Innovativeness: Always curious and striving to reach out and embrace new technologies and innovative methods of doing our work and contributing to socio-economic development.
  • Integrity: Being exemplary in our behavior and acting with honesty and impartiality in all our transactions.
  • Team work: Working at all times as a team.
  • Diligence: Being meticulous and through in whatever we do.
  • Respect for others: We always respect personal opinion academic freedom.
  • Responsive to society needs: We strive to continuously respond to current and future needs of the society.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Comments are closed.