UTARATIBU wa Kupata Pasipoti Mpya
UTARATIBU wa Kupata Pasipoti Mpya
UTARATIBU wa Kupata Pasipoti Mpya, Inachukua muda gani kupata passport mpya, Gharama za kupata passport tanzania, Maombi ya passport mpya Tanzania, Maombi ya passport online, Jinsi ya kuangalia Passport, Fomu ya maombi ya passport.
Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu.
A.KUNUNUA FOMU
- Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti aliyonayo ili kununua fomu au atume Euro 10,- (malipo ya fomu kwa rejista) pamoja na kopi mbili za pasipoti aliyonayo kurasa za 1 hadi 5 na ukurasa wa mwisho wenye DN. Namba. Aidha, alete bahasha yenye anuani yake iliyobandikwa stampu za rejista ili apelekewe fomu.
- Malipo yakipokelewa, mwombaji atapewa fomu au atapelekewa fomu husika ambayo ataijaza BILA kuweka sahihi yake katika sehemu ya sahihi, ukurasa wa kwanza. Mwombaji ataileta fomu yake,`photocopy’ ya fomu iliyojazwa na picha tano (5) za pasipoti saizi ya 4 x 4.5 cm zenye `background’ ya rangi ya `sky blue’ au rangi ya maji ya bahari. Picha hizo lazima ziwe za karibuni sana zinazoonyesha masikio yote mawili.
FOMU IJAZWE KWA HERUFI KUBWA!
- a) Wakati wa kujaza fomu `Section 2′ tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa wazazi ni LAZIMA. Hata wazazi waliofariki.
- b) Kama kuna sababu ya kubadilisha jina lazima hati husika za sababu ya kubadili jina ziletwe – kama cheti cha ndoa.
- c) Kama pasipoti imepotea LAZIMA ripoti ya polisi na`affidavit’ (hati ya kiapo) mbele ya mwanasheria zitumwe pamoja na fomu.
- Wale watakaopenda kuja Ubalozini kununua fomu na kurudisha fomu wazingatie utaratibu ulioelezwa (1 – 3).
- d) Acha au usijaze kipengele cha sita (6) katika fomu kwa kuzingatia Maelezo Muhimu kwenye kipengele cha pili (2) – waliotajwa hawapatikani nje ya Tanzania.
- e) Kila fomu ina namba moja haitumiki kwa watu wawili. Mwombaji asithubutu kutoa nakala (photocopy) ili itumike kwa mwombaji mwingine.
- Inatahadharishwa kuwa fomu za uombaji pasipoti zilizokosewa au kufutwafutwa hazitakubalika itabidi mwombaji anunue fomu nyingine. Ni vema kabla ya kujaza fomu mwombaji atoe nakala (photocopy) ya fomu aijaze kwanza kila kipengele ili baadaye anakili katika fomu aliyopelekewa kuepuka makosa, kufutwafutwa na kununua fomu nyingine.
B. ALAMA ZA VIDOLE NA TAHADHARI
- Katika utoaji wa pasipoti mpya lazima mwombaji achukuliwe alama za vidole (`finger prints’) na kuweka sahihi kwa mkono wake mwenyewe mbele ya afisa mhusika. Hivyo, tarehe ya kuchukuliwa alama za vidole; mwombaji atajulishwa kwa simu au e-mail.
- Mwombaji LAZIMA aje UBALOZINI ili kutia sahihi fomu na kuchukuliwa alama za vidole. Mwombaji atatakiwa alipe Euro 40,- malipo ya pasipoti mpya.
- Maombi yatashughulikiwa ipasavyo na kupelekwa haraka Makao Makuu ya Uhamiaji Dar es Salaam katika mfuko maalum wa Kidiplomasia.
- Pasipoti mpya zitatolewa Makao Makuu ya Uhamiaji, Dar es Salaam na zitaletwa Ubalozini kwa mfuko maalum.
- Ubalozi utatuma pasipoti mpya kwa mwombaji kwa kutumia bahasha iliyoandikwa anuani na mwombaji na kuwekwa stampu za rejista. Pasipoti ya zamani itabidi iwe ´cancelled’ ili nayo irudishwe kwa Mwombaji katika bahasha moja na pasipoti mpya. Hivyo, mawasiliano na Ubalozi ni muhimu kwani pasipoti mpya haitatolewa kabla ya zamani kuwa `cancelled’. Watakaotaka kufuata pasipoti zao wenyewe ni ruksa.
- Utaratibu mzima wa kushughulikia unatazamiwa kuchukua wiki sita (6) au zaidi. Jumla ya gharama ni Euro 50,- yaani Euro 10,- za fomu na Euro 40,- pasipoti.
Tanzania passport application form PDF, Vigezo vya kupata passport, Online passport application form Tanzania, Jinsi ya kuandika barua ya kuomba passport ya kusafiria, Maombi ya passport ya dharura, Viambatanisho vya maombi ya passport.
UTARATIBU wa Kupata Pasipoti Mpya
About Nijuze Habari Blog
About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.
Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.
Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.
Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki
Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.
About Nijuze Habari Blog
Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.
Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.
Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Fomu ya maombi ya passport, Gharama za kupata Passport Tanzania, Inachukua muda gani kupata passport mpya., Jinsi ya kuangalia Passport, Maombi ya passport mpya Tanzania, Maombi ya Passport online, UTARATIBU wa Kupata Pasipoti Mpya