NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.
Nafasi za Kazi zilizotanganzwa Kampuni ya Mabasi ya Abood ni;
1.Madereva
2.Makonda
3.Wakatishaji Tiketi
4.Wahudumu Ndani Ya Basi
5.Wawekaji Na Watoaji Mizigo Kwenye Bus
6.Waosha Magari
MUHIMU
1.Uwe Na Miaka Kuanzia 18
2.Awe Mtanzania Tu
3.Jinsia Zote
Mwisho Wa Kutuma Maombi: 01.06.2024
KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA
Nafasi za Wahudumu Ndani Ya Basi Kampuni ya Mabasi ya Abood, Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Waosha Magari Kampuni ya Mabasi ya Abood.
ABOUT US
Abood Bus Service Limited is a trailblazer in the field of intercity bus transportation in Tanzania. Founded in 1986, the company has built a solid reputation for quality and reliability, operating a fleet of more than 100 buses that serve the entire country, from the Northern to the Southern, Western and Eastern regions. At Abood Bus Service, we are committed to providing our passengers with the best possible experience.
Furthermore, we understand the importance of safety and reliability, and our team works tirelessly to ensure that each trip is safe, secure and worry-free.
OUR BUSES ARE A PERFECT BLEND OF LUXURY AND COMFORT.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.
Mimi ester massamu Nina miaka 28naomba kazi ya kukata tiketi katika kampan yenu ya abood natumia ombi langu litakubaliwa
Mimi Veronica nkya mwenye umri wa miaka 20 ninaomba kufanya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika basi natumai ombi langu litakubaliwa muwe na majukum mema
Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus kwani nitafanya kazi kwa kujituma na kwa uaminifu nawatakia kila la gheri namatumaini ombi langu lita kubaliwa
Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus nitafanya kazi kwa bidii na kwa uwaminifu nawatakia kila la gheri natumaina ombi langu lita kubaliwa
Mimi Ramadhani Salum nina umri wa miaka 35 naomba kazi ya kupakia mizigo na kushusha katika kampuni yeni tukufu natumaini ombi langu litakubaliwa.
Naitwa Vedastus nina miaka32 naomba nafasi ya kuwa kondakta katika bus zenu. Asante
Naitwa sheila halfani,naishi chalinze mkoa wa pwani,ninaumri wa miak 21
Naomba nafasi ya kutoa huduma ndani ya basi katika kampuni yako
Nitafanya kaz kwa bidii na kwa umakini mkubwa
Natumaini ombi langu linafanyiwa kazi
Ahsante
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu,
Naitwa Athumani Ahmadi nina umri wa miaka 22 ,
Nipo Dar es salaam,Naomba nafasi ya kazi ya ukondakta na pia ni fundi wa magari,Naomba uniajiri katika kampuni yako
Nakuahidi ntafanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu mkubwa inshaallah Natumaini ombi langu litakubaliwa
Naitwa Unice Acley Nina umri wa miaka 20 Niko Dar es salaam mbez Naomba nafasi ya kazi ya muhudumu ndani ya gari ivyo naomba unihajiri katika kampun yako na haidi kufanya kazi kwa uhaminifu na bidii Asante natumai ombi langu litajibiwa
Naitwa Godhelper Eliniangaze Msuya Niko musoma Nina umri wa miaka 21 . Ninaomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika magari nitafanya kazi Kwa kujituma
Kipangule Gaitan says:
22/4/2024
Naitwa gaitan kipangule ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafaxi ya kaz katika kampuni yenu nafas ya ukondaki. Ninakuahid nitafanya kaz Kwa bidii zang zote natumain ombi langu litakubaliwa
Naitwa gaitan kipangule nipo makambako ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafas ya Kazi kwenye kampun yenu nafas ya ukondakita Ninakuahid nitafanyakaz kwabidii zangu zote natumain ombilangu litakubaliwa
Kwa MAJINA naitwa JULIANI FESTO Nina umli wa miaka 21 Ninakaa kabindi wiraya ya BIHARAMLO NI MTANZANIA NINA AKILI TIMAM NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA NAJUA LUGHA MBILI KINGEREZA NA KISWAHILI . NAPENDA KUOMBA NAFASI YA UKONDAKTA NINAUZOEFU NA KAZI YA UKONDAKTA KEA MIEZI 6 NINAHAHIDI KIFANYA KAXI KWA UAMINIFU MKUBWA NDANI YA KAMPON YA ABOOD MATUMAINI YANGU NITAKUBALIEA ASANTE
Naomba kazi ya ukonda au kukata tiketi au kupakua mizigo na kushusha kwenye kampuni yenu naimani kwauwezo wamungu nita kubaliwa
Mimi nikijana wamiyaka 23 na0mba kazi na ukonda au upakuajia naimani mta kubaliwa ombilangu Kwa uwezo wa mungu
Mimi fatma yusufu mwenye umri wa miaka 22 naomba kazi ya kukata tiketi katika kampuni ya abood
Natumai ombi langu litakubaliwa
Ahsante
Mimi Saraphina charles vedasto nina umri wa Miaka 23 ni mkazi wa kimara mwishoNilikuwa Naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha kuhudumu ndani ya basi nahaidi nitafanya kazi hiyo kwa bidii nitashukuru sana kama nikipata hii nafasi. Asanteni🙏
mim naitwa alhamdu rashidi mwenye umri20
naomba kazi ya ukonda
katika kamupuni ya abood
Natumain ombi langu litakubaliwa
ahsante
Mimi Saraphina charles vedasto nina umri wa Miaka 23 ni mkazi wa kimara mwishoNilikuwa Naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha kuhudumu ndani ya basi nahaidi nitafanya kazi hiyo kwa bidii nitashukuru sana kama nikipata hii nafasi. Asanteni🙏
Mimi na itwa alhamdu rashidi
mwenye umuli wa mika20
naomba kazi ya ukondakita katika
Kamupuni ya abood
natumain ombi langu lita kuba liwa
hahsante
Mimi na itwa alhamdu rashidi
mwenye umuli wa mika20
naomba kazi ya ukondakita katika
Kamupuni ya abood
natumain ombi langu lita kuba liwa
ahsante
Mimi anord archard mwenye umri wa miaka 24 naomba nafasi ya ukondakita ndani ya kampuni ya abood natumaini ombi langu linakubaliwa ahsante
Mim John Edward mwenye umri wa miaka 22 nip mwanza naomb kaz ya ukondakta katik kampun ya abood natumain ombi lang litakubaliwa ahsante.
No 0624876496
Naitwa Said juma nina miaka 18 nipo mkoani morogoro naomba kazi ya kuwakondakta katika kampuni ya mabasi ya abood nitafanya kazi kwauaminifu asante
Mimi Shabani mwenye umri wa 20 naomba nafasi ya ukondakta kwenye kampuni yako ya abood
Mimi hanifu swalehe nina umri wa miaka 19 naomba nafasi ya kazi ya muhudumu ndani ya bus katika kampuni yenu ya abood
Habari ndugu,naitwa Isaya George ni draiva,naomba nafasi ya kazi ya udreva kwenye kampuni yako,umr wangu ni 37 nitashukuru endapo ombi langu litasshughurikiwa,asante.
Me naitwa Emmanuel miaka 25 nahitaji kazi ya kodakita wa ndani ya bus na amini kwa uwezo wangu nitafanya kazi kwa juhudi zangu zote
Mimi ATIYA SAIDI Nina miaka 25 nimetuma maombi ya kazi ya kukatisha tiketi katika kampuni ya bus ya abood naimani ombi langu litapokelewa
Naitwa abdully Hussein wassima naishi kiwalani dar El salaam nna miaka 20 nina elimu ya kidato Cha nne naomba nafasi ya kazi ya kuwa kondakta au kukatisha tiketi Asante 0712245190
Kwa majina naitwa IDDI KHALFAN ALLY. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 pia nina uraia wa Tanzania. Ninajua kusoma na kuandika pia nina afya njema. Ni mkazi wa mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Ubungo sehemu ya kimara korogwe. Ninaomba nafas ya kazi ya kuhudumu ndan ya basi katika kampuni ya abood bus service. Nina uzoefuuu mzuri tu wa kufanya kazi pia. Kwa mawasiliano zaidi
No: 0717990882 tigo
Naitwa lukasi Peter godifrey nirai to a wa Tanzania Nina miaka 27 naomba kazi ya kukata tiketi au kuwa konda wa company hii ya abood.. hasante kwa kusoma ujumbe wngu number za cm yang 0679243390
Naomba KAZI namba 0679243390
Mimi shadia aliamini Rashidi nina miaka 27 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus kwa nitafanya kazi kwa kujituma na kwa uaminifu nawatakia kila gheri natumaini ombi langu lita kubaliwa