RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


Makala

Makala

MWONGOZO wa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Filed in Makala by on 01/09/2024 0 Comments
MWONGOZO wa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

Mwongozo huu wa Uchaguzi wa viongozi wa Vitongoji, Vijiji na Mitaa umeandaliwa kwa lengo la kufafanua kwa lugha rahisi maudhui ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika ngazi za msingi. Kwa mujibu wa mwongozo huu ngazi za msingi za Serikali za mitaa zina maana ya Mitaa katika Mamlaka za Miji, Vijiji na Vitongoji […]

Continue Reading »

MISHAHARA ya Walimu 2024/2025

Filed in Makala by on 22/08/2024
MISHAHARA ya Walimu 2024/2025

Tume ya Utumishi wa Umma (Public Service Commission) ndiyo inayosimamia viwango vya mishahara ya watumishi wa umma, ikiwemo walimu. Kila mwaka, viwango hivi vya mishahara hubadilishwa ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi, mfumuko wa bei, na sera za serikali kuhusu maslahi ya watumishi. Hii ina maana kwamba mishahara ya walimu inaendana na hali halisi ya […]

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

Filed in Makala by on 20/08/2024
MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

Maswali ya Usaili Ajira za Ualimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuandalia maswali ya usaili pamoja na majibu yake. 1.Kwa nini unataka kuwa Mwalimu? Swali […]

Continue Reading »

SAMPLE ya wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024

Filed in Makala by on 20/08/2024
SAMPLE ya wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024

SAMPLE ya wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024 SAMPLE ya wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024, Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024, Barua ya Kuomba Kazi Ajira za Walimu 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa […]

Continue Reading »

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Filed in Makala by on 20/08/2024
Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

Ugavi na Manunuzi Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Wilaya. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi Mkuu ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya. Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi Kushauri uongozi juu ya […]

Continue Reading »

UFAHAMU Ugonjwa wa MPOX na Jinsi ya Kujikinga

Filed in Makala by on 20/08/2024
UFAHAMU Ugonjwa wa MPOX na Jinsi ya Kujikinga

UFAHAMU Ugonjwa wa MPOX na Jinsi ya Kujikinga UFAHAMU Ugonjwa wa MPOX na Jinsi ya Kujikinga,Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa MPOX na Jinsi ya Kujikinga. Wizara ya Afya imesema kuwa imejipanga kuudhibiti ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) endapo utaingia nchini. Kauli ya wizara inatokana na taarifa zinazoeleza kuwa ugonjwa huo upo kusini mashariki mwa nchi […]

Continue Reading »

MASWALI na Majibu Katika Utumishi Portal

Filed in Makala by on 20/08/2024
MASWALI na Majibu Katika Utumishi Portal

MASWALI na Majibu Katika Utumishi Portal MASWALI na Majibu Katika Utumishi Portal, Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara,Maswali na Majibu Kwa Watumiaji wa Huduma Katika Watumishi Portal, Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara Ajiraportal. JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI A. Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusiana na Usajili, Kusahau Nywila na Ku-reset […]

Continue Reading »

MASWALI Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Ajira za INEC

Filed in Ajira, Makala by on 20/08/2024
MASWALI Yanayoulizwa Mara Kwa Mara Ajira za INEC

1:Nini kitatokea ikiwa mtu amejiandikisha zaidi ya mara moja? Jibu: Ni kosa la jinai mtu kujiandikisha zaidi ya mara moja, na ikitokea, mtu ataadhibiwa kulingana na sheria za Uchaguzi. 2:Je Mawakala wa vyama vya Siasa wanaruhusiwa kuangalia zoezi la uandikishaji wapiga kura kituoni? Jibu: Ndio, Mawakala wa Vyama vya Siasa vyenye Usajili wanaruhusiwa kuwa na […]

Continue Reading »

MUONGOZO wa Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Filed in Makala by on 20/08/2024
MUONGOZO wa Kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi

Mfumo wa Vibali vya Kusafiri ni mfumo wa kimtandao unaojiendesha wenyewe (otomati) uliotengenezwa kwaajili ya Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Kwa kutumia mfumo huu waajiriwa wa Serikali na watumishi wote wa umma wataweza kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kwa safari binafsi au za kikazi kwa mtu binafsi au kikundi. KUFIKIA MFUMO […]

Continue Reading »

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC

Filed in Ajira, Makala by on 14/08/2024
MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC

MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC, MFANO wa Barua ya Kuomba kazi INEC Tanzania,Sample INEC Letter, Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi ya NEC, Mfano Barua Ya Kuomba Ajira NEC, Barua ya Kuomba kazi NEC, Barua ya Kuomba Kazi Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania Bara, Barua ya […]

Continue Reading »