RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


KENGOLD FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Filed in Michezo by on 21/04/2024

KENGOLD FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

KENGOLD FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025,Kengold FC Results,Kengold FC table,Kengold fc fixtures,Kengold fc players,Kengold FC vs Gunners FC,Transit Camp FC vs kengold FC,KenGold yapanda Ligi Kuu Bara Msimu wa 2024/2025.

KENGOLD FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

KENGOLD FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025,Kengold FC Results,Kengold FC table,Kengold fc fixtures,Kengold fc players,Kengold FC vs Gunners FC, Transit Camp FC vs kengold FC,KenGold yapanda Ligi Kuu Bara Msimu wa 2024/2025.

Baada ya kusota kwa misimu mitatu mfululizo bila mafanikio, hatimaye Ken Gold imepanda Ligi Kuu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya FGA Talents, leo.

Mabao pekee yaliyoipandisha timu hiyo yamefungwa na Mishamo Michael na Robert Mackidala na kuifanya Ken Gold ya wilayani Chunya Mkoani Mbeya kufikisha pointi 67 na kujihakikishia nafasi ya Ligi Kuu msimu ujao.

Mchezo huo ambao umepigwa Uwanja wa Sokoine jijini humo, Ken Gold ilihitaji ushindi tu ili kujihakikishia nafasi hiyo na haikufanya makosa na kufikia malengo yake.

Kengold FC yapanda Ligi Kuu ya NBC 2024/2025Pointi 67 za timu hiyo zinaweza kufikiwa na Pamba Jiji ya Mwanza tu iwapo atashinda mechi ya mwisho dhidi ya Mbuni baada ya leo kutakata kwa mabao 2-1 dhidi ya TMA na hivyo timu hizo zitapanda zote moja kwa moja.

Hata hivyo, kitendo cha Biashara United kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Pan African, kinaipa nafasi kubwa Pamba Jiji kutafuta japo sare katika mchezo ujao ili kujihakikishia ndoto yake ya zaidi ya miaka 20 bila kukanyaga Ligi Kuu.

Kocha Mkuu wa Ken Gold, Jumanne Challe amesema kuwa haikuwa kazi rahisi lakini kujituma kwa wachezaji na ushirikiano wa wadau ndio siri ya mafanikio.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.