RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024

Filed in Magazeti, Michezo by on 30/04/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPAĀ WHATSAPP BOFYA HAPA

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024,Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne April 30-2024, Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne tarehe 30-04-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Jumanne April 30-2024, Magazetini Leo 30.04.2024, Mazetini Leo Jumanne tarehe 30 April 2024, Pacome aibuka na kufunguka Mazito,Mgunda aiongoza Simba bila nyota 6, Mgunda aanza na Namungo FC, Mtibwa Sugar yazidi kupotea Ligi Kuu, Kuondoka Kwa Makocha Simba tatizo lipo hapa, Kocha Simba ataja Siri ya Gamondi, Ligi Kuu Leo Simba vs Namungo,Mechi 4 za Jasho na damu Yanga ikishinda zote Bingwa 2023/24,Simba Queens yaitandika JKT Queens 2-0, nje ndani miezi 5 ya Benchikha Simba, Yanga tunasajili Kwa Umakini Mkubwa Hersi Said, Simba vs Namungo Leo, Namungo vs Simba Leo.

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024,Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne April 30-2024, Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne tarehe 30-04-2024, Vichwa vya habari Katika Magazeti ya Leo Jumanne April 30-2024, Magazetini Leo 30.04.2024, Mazetini Leo Jumanne tarehe 30 April 2024.

Magazeti ya Tanzania leo Jumanne tarehe 30 April 2024, Magazeti ya leo asubuhi tarehe 30.04.2024, Magazeti ya Tanzania leo 30 April 2024, Magazeti ya Michezo ya Leo Jumanne tarehe 30.04.2024, Magazeti ya Michezo leo tarehe 30.4.2024.

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne April 30-2024

Haya hapa Magazeti ya Tanzania leo Jumanne April 30.2024, Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Jumanne April 30.2024, Magazeti ya Michezo leo Jumanne, Newspaper front pages for the 30th of April 2024, Magazetini Leo April 30-2024, Habari za Magazeti Leo Jumanne tarehe 30 April 2024.


Gazeti (kupitia Kiingereza kutoka Kiitalia gazzetta) ni karatasi zilizochapishwa habari na kutolewa mara kwa mara ama kila siku au kila wiki; kuna pia magazeti yanayotolewa mara moja au mbili kwa mwezi tu.

Magazeti dukani

Aina za habari
Mara nyingi gazeti huwa na habari za siasa, uchumi, utamaduni, michezo pamoja na hali ya hewa na programu za TV na burudani mbalimbali kama vibonzo, hadithi an vitendawili.

Sehemu nyingine muhimu ni matangazo ya biashara ambako kampuni au watu hununua nafasi gazetini na kutangaza biashara, mikutano na mengineyo.

Uhuru wa habari
Pamoja na vyombo vingine vya habari kama TV, redio au blogu, magazeti yanastahili uhuru wa maoni. Lakini katika nchi nyingi serikali zinajaribu kuzuia habari zisizopendezwa nazo. Kwa sababu hii Tangazo kilimwengu la haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa linatetea uhuru wa magazeti.

Pia kwa nchi ya Tanzania na nyinginezo vyombo vya habari vinahitaji uhuru wa kusikilizwa kwa kuunda misingi iliyo kamili katika kutetea haki zao ndipo wataweza kusikilizwa zaidi.

Chombo cha habari ni muhimu sana kwa jamii zetu za Kiafrika kwa vyombo hivi pia ndipo elimu mbalimbali hutolewa kwao. Hata hivyo magazeti yamekuwa pia chanzo kikubwa sana cha vijana kuchafuana majina na kuzushiana taarifa zisizokuwa rasmi kwa jamii, hasa pale ambapo wanakoseana heshima na kudharauliana. Jambo hili ni baya sana kwa taifa na kwa jamii kwa ujumla, kwani kukosekana kwa maadili yaliyo muhimu kwa jamii ni chanzo kikubwa cha kuonekana kuwa magazeti hayana faida kwa kizazi cha baadaye, japo magazeti ni kitu muhimu sana kwa dunia ya leo, iwe ya mtandaoni au ya kuchapishwa kwenye karatasi.

Magazeti ya kuuzwa na magazeti ya bure
Magazeti huuzwa madukani au na wauzaji barabarani. Katika nchi nyingi kuna pia mashine zinazotoa gazeti baada ya kuingiza sarafu. Mengine huagizwa na wasomaji na kupelekwa kwao nyumbani, kwa mfano kwa njia ya posta.

Kuna pia magazeti yanayotolewa bure; gharama zao zinalipiwa na matangazo pekee.

Katika mazingira ya kisasa magazeti yanapatikana pia kwa njia ya mtandao yakionekana kwenye tarakilishi. Njia hii mara nyingi ni bure vilevile, ila kuna baadhi za magazeti yanayoweka sehemu ya makala tu mtandaoni kwa watu wote, lakini makala mengine yanaonekana kwa wasomaji waliowahi kulipa ada na kuwa na neno la siri linalowaruhusu kutazama kurasa zote.

Magazeti yenye nakala nyingi
Magazeti ya Japani huwa na wasomaji wengi kuna tatu za kila siku zinazotolewa kwa nakala kati ya milioni 5 hadi 14 kila siku. Gazeti kubwa la Ujerumani “Bild” hutoa nakala milioni 3.8 kwa siku, gazeti kubwa la Marekani “America Today” milioni mbili. Gazeti kubwa la Afrika ya Mashariki ni Daily Nation wa Kenya yenye nakala 200,000 kila siku. Upande wa Tanzania ni gazeti “Mwananchi”

Magazeti ya kitaifa, kimataifa au kimahali
Nchi nyingi huwa na magazeti kadhaa yanayouzwa kote taifani. Kuna machache yanayoandaliwa kwa solo la kimataifa hasa, kwa mfano International Herald Tribune.

Lakini kuna pia magazeti mengi yanayokusanya habari za eneo au mji fulani hasa. Mifano yake katika Afrika ya Mashariki ni Arusha Times au Coastweek ya Mombasa. Katika nchi kama Marekani au Ujerumani sehemu kubwa ya magazeti ni ya eneo au miji fulani hasa.

Matumizi baada ya kusomwa
Magazeti huwa tena na matumizi baada ya kusomwa hasa kwa kufunga vitu sokoni au kurudishwa kiwandani kwa kutengeneza karatasi mpya.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , ,

Comments are closed.