RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024 

Filed in Ajira, Michezo by on 17/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024 

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI Leo, Ajira portal, Walioitwa kazini utumishi 2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo February 2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-02-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-11-2022 na tarehe 22-01-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI Leo, Ajira portal, Walioitwa kazini utumishi 2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo February 2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-02-2024.

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa
Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa
na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Kuona Majina 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024  Donwload PDF hapa

MAJINA 110 ya Waliotwa Kazini UTUMISHI February 17-2024,Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI Leo, Ajira portal, Walioitwa kazini utumishi 2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo February 2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA 17-02-2024.Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI, Ajira portal login, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2024, Ajira portal vacancies, Ajira portal news, Sekretarieti ya Ajira, Walioitwa kazini leo, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI February 2024, Tangazo La Kuitwa Kazini February 2024, Tangazo LA kuitwa kazini, Majina ya walioitwa kazini UTUMISHI 2024, Walioitwa kazini leo, Ajira portal login, Tangazo La Kuitwa Kazini 2024, Kuitwa kazini afisa maendeleo ya jamii, Majina ya walioitwa kazini utumishi february 17 2024 download PDF, Majina ya walioitwa kazini utumishi february 17 2024 date, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo February 17-2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.