RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 08/04/2024

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE 08-04-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 2024.

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE 08-04-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17 hadi 18/04/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE 08-04-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 2024.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
  • Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa mavazi nadhifu
  • Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,
    Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Leseni ya Udereva au Hati ya kusafiria.
  • Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,
    Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
  • Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
  • Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na
    Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
  • Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi
    vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya
    tangazo husika.
  • Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
  • Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Wilaya ya Ileje ni ya mvua na baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya mvua na ubaridi.

KUONA MAJINA 551 YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE BONYEZA HAPA

MAJINA 551 ya Waliotwa kwenye Usaili Wilaya Ileje 08-04-2024, Majina ya Waliotwa kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA ILEJE 08-04-2024, Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Ireje April 2024.Wilaya ya Ileje ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Songwe; hadi 2016 ilikuwa sehemu ya Mkoa wa Mbeya.

Wilaya hii imepakana na nchi ya Malawi na inatenganishwa nayo na mto Songwe.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 124,450. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 125,869.

Wenyeji wa Ileje ni wenye asili ya makabila matatu, yaani Wandali, Walambya na Wamalila (Ibaba, Itale).

Kama ilivyo kwa mkoa mzima, Ileje kuna wafuasi wengi wa dini ya Ukristo na wachache wa Uislamu.

Wilaya hii ina kata zifuatazo:

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Comments are closed.