RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 08/04/2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI 08-04-2024, Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Ajira Mpya Chuo Kikuu Ardhi April 2024.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI 08-04-2024, Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Ajira Mpya Chuo Kikuu Ardhi April 2024.

Chuo Kikuu Ardhi (ARU) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 22 Januari, 2024 hadi tarehe 24 Januari, 2024 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu Ardhi (ARU) tarehe 15 na 16 Aprili, 2024 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka
zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi 08-04-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI 08-04-2024, Kuitwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Chuo Kikuu Ardhi April 08-2024, Ajira Mpya Chuo Kikuu Ardhi April 2024.Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi
zitakapotangazwa.

Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

  • Vyeti halisi (Original Certificates na Transcript) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa
    na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha
    nne na kuendelea;
  • Ufafanuzi wa vyeti na uthibitisho wa TCU kwa wale waliosoma nje ya nchi;
  • Cheti cha kuzaliwa;
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
  • Picha ndogo tatu za rangi (three coloured passport size photographs)

KUONA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI 08-04-2024 BONYEZA HAPA

Vision and Mission

Vision

To be a leading centre of excellence in knowledge generation and dissemination responsive to the dynamics of the national, regional and global conditions.

Mission

To provide innovative and integrated learning, research and public services that advance sustainable development at national level and beyond.

Values

In order for ARU to achieve its Vision and accomplish its vision it will subscribe to the following values:

  1. Integrity: ensuring that all academic outputs are produced in line with high standards of personal and scholarly conduct enhanced by honesty, transparency, quality control and assurance measures;
  2. Creativity: striving to embrace new ideas, technologies and innovative ways of operations in order to contribute towards socio-economic development;
  3. Excellence: ensuring top quality are embedded in training and learning, research and public services;
  4. Equity: ensuring equal opportunities and non-discrimination on the basis of personal, ethnic, religious, class, gender or any other social characteristics;
  5. Teamwork: aiming at working diligently as a team while nurturing one another so as to achieve common organization objectives;
  6. Internationalization: ensuring smooth working with regional and global partners to address issues pertinent to local and international community; and
  7. Professionalism: ensuring culmination of skills, knowledge, competences, quality, altitude and good conduct in all undertakings;

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.