RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 08/04/2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-04-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo April 08-2024, Majina ya walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Kutoka Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 08-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-04-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo April 08-2024, Majina ya walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Kutoka Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 08-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-01-2023 na tarehe 22-01-2024
kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku
saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo
katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-04-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo April 08-2024, Majina ya walioitwa Kazini Kutoka UTUMISHI April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini Kutoka Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 08-2024.

MAJINA ya Waliotwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA April 08-2024

MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi;

Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia,
Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.

KUONA ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KAZINI KUTOKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-04-2024 BONYEZA HAPA

NB: GENERAL CONDITIONS FOR APPLICANTS

GENERAL CONDITIONS

  • All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
  • Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
  • Applicants should apply on the strength of the information given in the advertisement.
  • The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
  • Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
    – Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
    – Form IV and Form VI National Examination Certificates.
    – Computer Certificate
    – Professional certificates from respective boards
    – One recent passport size picture and birth certificate.
  • FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
  • Testimonials, Partial transcripts and results slips will NOT be accepted.
    viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
  • Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
  • Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
  • Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
  • Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
  • Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
  • Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
  • Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
  • Women are highly encouraged to apply
  • Application letters should be written in English or Swahili.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.