MFANYE Mpenzi Wako atabasamu Kwa Kumtumia hizi Sms nzuri
MFANYE Mpenzi Wako atabasamu Kwa Kumtumia hizi Sms nzuri
MFANYE Mpenzi Wako atabasamu Kwa Kumtumia hizi Sms nzuri,Mada za kuchat na mpenzi wako, Sms nzuri kwa mwanamke mpenzi, Sms nzuri za kumfanya mpenzi wako azidi kukupenda, Sms za kuchati na mpenzi wako usiku, Sms za kulalamika kwa mpenzi wako download.
Ulishawahi kushika simu yako ukiwa na lengo la kumtumia mpenzi wako meseji lakini hujui uandike kitu gani unaishia tu kuandika Vipi umeshakula?
Yaani hapo hata Wewe mwenyewe lazima ujione sio, na yeye kule akiisoma ataishia kuzungusha macho juu na kusema huyu nae maswali gani sasa haya yaani amekosa maneno ya kuandika?
Naelewa hakuna mtu ambae hapendi kumwandikia mpenzi wake meseji nzuri ya kuvutia, lakini shida inakuja mara nyingi hujui uanzie wapi au useme nini na wakati huo huo unataka uonekane wa kiutofauti kwa mpenzi wako.
Inakera hiyo kitu acha tu. Unataka kutuma meseji ili mchat kidogo lakini ukifikiria nitamchokozaje ili aweze kujibu unaishia kuweka simu chini au kuingia twitter kuangalia leo vayolensi iko mtaa upi au uingie Instagram uangalie habari mpya.
Hizo nyakati zote mwisho ni leo hii usomapo hapa chini!
Sasa leo nataka nikwambie umefikia mwisho wa tatizo lako, hapo chini nimekuorodheshea meseji 25 ambazo ukimtumia mpenzi wako lazima huko aliko afurahi na tabasamu juu na hata kama alikuwa hapendi kuchat na Wewe utashangaa jinsi atakavyokuwa na moto wa kupenda na kuendelea kuchat na Wewe kila siku.
- Wewe ndiye mwenye ufunguo wa moyo wangu nakupenda sana.
- Kila napokuwa naangalia macho yako mazuri huwa najiona Mimi ni mtu mwenye bahati sana kuwa nawe.
- Wewe ni mrembo, mtulivu, mpole, myenyekevu na mwaminifu. Hakika nimependelewa na Mungu kuwa na Wewe maishani mwangu. Nakupenda sana.
- Upendo wako umeleta furaha maishani mwangu na ndani ya moyo wangu.
- Umeifanya Dunia yangu kuwa mahali pa furaha kwa sababu uko ndani yake. Umeigusa nafsi yangu kwa njia ambazo maneno hayawezi kuelezea.
- Toka siku ya kwanza nilipokuona nilivutiwa na wewe, tabasamu lako, uzuri wako, akili yako. Moyo wangu, roho yangu, na mwili wangu vyote ni vyako Mimi ni wako kabisa Nakupenda sana.
- Kukupenda ni jambo rahisi zaidi ambalo nimewahi kufanya katika maisha yangu na ni jambo ambalo ningependa kuendelea kulifanya maisha yangu yote.
- Muda/Miaka ambayo tumekuwa sote imebadilisha mambo mengi sana, lakini jambo ambalo halijabadikika ni jinsi ninavyojisikia kila ninapokuwa karibu na wewe ni huwa najiona ni kama ndio kwanza tunaanza uhusiano wetu.
- Moyo wangu najua uko salama mikononi mwako mpenzi wangu.
- Baada ya miaka hii yote ya kuwa pamoja nataka ufahamu kuwa bado unawasha moto ndani yangu ambao ni wewe tu unayeweza kuuzima.
- Sijawahi kujuta hata dakika moja ya kuwa na wewe katika maisha yangu.
- Wewe ni kipenzi cha moyo wangu na nuru ya maisha yangu. Wewe ni wa thamani zaidi kwangu kuliko kitu chochote au mtu mwingine yeyote, na nitakuthamini milele.
- Kila siku ninapoamka na kukuona wewe pembeni yangu huwa najihisi kama nipo ndotoni , ndoto nzuri ambayo kamwe sitaki kuamka kutoka katika huo usingizi. I love you
- Umenipa kitu muhimu sana ambacho pesa haiwezi kununua, Upendo usio na kipimo.
- Nazidi kukupenda zaidi kila siku inayoitwa leo na nionapo tabasamu lako ndio unanimaliza kabisa.
- Umefanya maisha yangu kuwa ya thamani zaidi kuliko nilivyowahi kufikiri hapo mwanzo. Umeniongezea vitu vingi maishani mwangu.
- Upendo wako umekuwa ndio msukumo wangu wa ndani, motisha yangu, na chanzo cha faraja yangu. Kadiri Navyoendelea kuwa na wewe pembeni yangu, ninajihisi kuwa naweza kufanya chochote, sina hofu tena kwa sababu najua ninao upendo na msaada wako siku zote. Nakupenda
- Kila unapokuwa mbali na Mimi huwa siwezi kuacha kukufikiria na kutamani urudi ili nikishike tena mikononi mwangu.
- Umeleta nuru katika maisha yangu na kila siku unanipa nguvu ya kusonga mbele zaidi, asante sana kwa upendo wako kwangu.
- Umenisaidia kuwa mwanaume/Baba bora kwa kila sekunde ambayo umekuwa pembeni yangu. Hakuna mtu ambaye anaweza kunielewa kwa jinsi unavyonielewa wewe.
- Dunia imekuwa mahali pazuri zaidi kwa sababu wewe upo. Mpenzi wangu wewe ni wa kipekee sana. Natamani ujione kupitia haya macho yangu ya upendo. Mapungufu yako sio kitu na yasikuzuie kutimiza ndoto zako.
- Upendo wako ndio kitu muhimu na cha thamani zaidi katika maisha yangu, siwezi kukuchukulia kikawaida au kuja kusahau jinsi nilivyo na bahati ya kuwa ya na wewe.
- Sasa hivi siweza kufikiria maisha yangu bila wewe, ninafuraha sana kwa kuamua kunipa moyo wako, na wewe unao moyo wangu sasa na hata milele. Wewe ni malkia wangu na wa moyo wangu.
- Tangu siku ya kwanza tulipokutana, nilijua ya kuwa wewe ndiye mwanamke unayenifaa, upendo nilionao juu yako ni mkubwa zaidi ya uwezavyo kufikiria.
- Malkia wangu wa nguvu uzuri wako, akili yako, hekima zako sio rahisi kuelezea kwa maneno.
Mapenzi ni vionjo, huitaji kuwa romantiki unachohitaji ni mpenzi wako akuone kuwa unamjali pamoja na meseji nzuri kama hizi ambazo zitaongeza vionjo na utamu kwenye mahusiano yenu.
Achana na zile meseji za umekula au unarudi saa ngapi? anza kumtumia mpenzi wako meseji hizi, hata kama amekununia kwa wiki nzima ukimtumia makombora ya hizi meseji utayeyusha kabisa hasira zilizokuwa ndani yake juu yako.
MFANYE Mpenzi Wako atabasamu Kwa Kumtumia hizi Sms nzuri
Sms za kumuumiza mpenzi wako,Sms nzuri kwa mpenzi aliye mbali download, Sms za kumchekesha mpenzi wako, Sms za uchungu mpenzi wako, Jinsi ya kuchati na mpenzi aliye mbali, Maneno mazuri ya kumwambia mpenzi wako ili akupende zaidi, Maneno ya uchungu kwa mpenzi wako.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Mada za kuchat na mpenzi wako, MFANYE Mpenzi Wako atabasamu Kwa Kumtumia hizi Sms nzuri, Sms nzuri kwa mwanamke mpenzi, Sms nzuri za kumfanya mpenzi wako azidi kukupenda, Sms za kuchati na mpenzi wako usiku, Sms za kulalamika kwa mpenzi wako download.