RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 03/04/2024

NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024

NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Cv ya waziri wa ulinzi, Ajira Mpya 12 kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 03-04-2024.

NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024

NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Cv ya waziri wa ulinzi, Ajira Mpya 12 kutoka
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 03-04-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Jeshi la Magereza, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi kumi na mbili (12) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliiundwa rasmi mwaka 1995 na kabla ya hapo kati ya mwaka 1972 na mwaka 1989 majukumu ya Wizara hii yalikuwa yakifanywa na Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais. Kati ya mwaka 1989 na mwaka 1995 majukumu ya Wizara yalikuwa chini ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais.

Aidha kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Wizara ilikuwa ikijulikana kama Wizara ya Ulinzi na Mambo ya nchi za nje. Wizara ina jukumu kubwa la kulinda Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (State Sovereignty) na Maslahi ya Taifa (National Interest) Dhidi ya maadui wa ndani na nje.

DAKTARI MSAIDIZI DARAJA II – NAFASI 05.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kutambua matatizo ya wagonjwa na kutoa huduma za tiba, kinga na
    huduma kwa kina mama na watoto;
  • Kufanya upasuaji wa dharura na wa kawaida;
  • Kupanga, kutekeleza na kutathimini huduma za afya sehemu zao za kazi;
  • Kupanga utekelezaji wa mipango ya kukabili majanga na dharura mbalimbali;
  • Kufanya utafiti katika maeneo mbalimbali ya afya ili kuboresha utoaji huduma; na
  • Kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.

NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Cv ya waziri wa ulinzi, Ajira Mpya 12 kutoka  Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA 03-04-2024.NAFASI 12 za Kazi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa April 2024

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu (Advance Diploma) ya Tiba kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali walio na leseni ya kufanya kazi kutoka Baraza la
Madaktari Tanganyika pamoja na uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka
mitatu.

NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali
TGHS C


MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (MAABARA) – NAFASI 05.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara;
  • Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara;
  • Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea;
  • Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista;
  • Kutayarisha vifaa vya kazi;
  • Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti katika fani ya Maabara kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Mabaraza
yao pale inapohusika.

NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali
TGHS A


MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (DAWA) – NAFASI 02.

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba;
  • Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
  • Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu,
    uzoefu na ujuzi wake.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti katika fani ya Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Mabaraza yao pale inapohusika.

NGAZI YA MSHAHARA – Kwa kuzingatia ngazi ya mshahara wa Serikali
TGHS A

MASHARTI YA JUMLA.

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi
    miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahimizwa kutuma maombi na kuanisha katika mfumo wa kuombea nafasi aina ya ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa na maandalizi kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma;
  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
  • -Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
  • – Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
  •  – Computer Certificate
  • – Vyeti vya usajili wa kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
  • – Leseni za kazi zilizo hai
  • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
  • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010
  • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Aprili, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma S.L.P. 2320 Dodoma.

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira
(Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

Naibu waziri wa ulinzi anaitwa nani, Vyombo vya ulinzi na usalama tanzania, Waziri wa ulinzi tanzania afariki, Mkuu WA JESHI LA KUJENGA TAIFA, Waziri wa mambo ya ndani, Jeshi la kujenga taifa in English, Makao makuu ya jeshi dodoma,
www.jkt.go.tz news, Mafunzo ya JKT ni muda gani, Ministry of Defence and National Service Tanzania contacts, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Ministry of Defence and National Service (MoDNS)

Wizara ina jukumu kubwa la Kulinda Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (State Sovereignty) na Maslahi ya Taifa (National Interest) dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Katika kutekeleza majukumu hayo Wizara ina taasisi zake kama ifuatavyo:-

  • Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
  • Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
  • Vyuo vya Mafunzo na Taasisi za Utafiti.

Malengo

katika kufanikisha Dhima yake, malengo ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kama ifuatavyo:-

  • Kuwa na Jeshi dogo na mahiri la Ulinzi wa Nchi lenye weledi, zana bora, vifaa vya kisasa na mawasiliano salama;
  • Kuendelea kuwajengea vijana wa kitanzania moyo wa uzalendo, ukakamavu,maadili mema,utaifa na kuwafundisha stadi za kazi.
  • Kuendeleza utafiti na kujenga uwezo katika teknolojia za kijeshi;
  • Kuimarisha Jeshi la Akiba;
  • Kusaidia Mamlaka za Kiraia katika kukabiliana na majanga;
  • Kudumisha amani na usalama kwa kushirikiana na nchi nyingine duniani.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , ,

Comments are closed.