RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 08/04/2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

Nafasi za Kazi zilizotanganzwa Kampuni ya Mabasi ya Abood ni;
1.Madereva
2.Makonda
3.Wakatishaji Tiketi
4.Wahudumu Ndani Ya Basi
5.Wawekaji Na Watoaji Mizigo Kwenye Bus
6.Waosha Magari

MUHIMU
1.Uwe Na Miaka Kuanzia 18
2.Awe Mtanzania Tu
3.Jinsia Zote

Mwisho Wa Kutuma Maombi: 01.06.2024

KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA

Nafasi za Wahudumu Ndani Ya Basi Kampuni ya Mabasi ya Abood, Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Waosha Magari Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

ABOUT US

Abood Bus Service Limited is a trailblazer in the field of intercity bus transportation in Tanzania. Founded in 1986, the company has built a solid reputation for quality and reliability, operating a fleet of more than 100 buses that serve the entire country, from the Northern to the Southern, Western and Eastern regions. At Abood Bus Service, we are committed to providing our passengers with the best possible experience.


Furthermore, we understand the importance of safety and reliability, and our team works tirelessly to ensure that each trip is safe, secure and worry-free.

OUR BUSES ARE A PERFECT BLEND OF LUXURY AND COMFORT.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , ,

Comments (34)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Mimi ester massamu Nina miaka 28naomba kazi ya kukata tiketi katika kampan yenu ya abood natumia ombi langu litakubaliwa

    • Veronica says:

      Mimi Veronica nkya mwenye umri wa miaka 20 ninaomba kufanya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika basi natumai ombi langu litakubaliwa muwe na majukum mema

    • Hassani says:

      Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus kwani nitafanya kazi kwa kujituma na kwa uaminifu nawatakia kila la gheri namatumaini ombi langu lita kubaliwa

  2. Hassani says:

    Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus nitafanya kazi kwa bidii na kwa uwaminifu nawatakia kila la gheri natumaina ombi langu lita kubaliwa

  3. Ramadhani Salum says:

    Mimi Ramadhani Salum nina umri wa miaka 35 naomba kazi ya kupakia mizigo na kushusha katika kampuni yeni tukufu natumaini ombi langu litakubaliwa.

  4. Vedastus Peter says:

    Naitwa Vedastus nina miaka32 naomba nafasi ya kuwa kondakta katika bus zenu. Asante

  5. SHEILA SAID HALFANI says:

    Naitwa sheila halfani,naishi chalinze mkoa wa pwani,ninaumri wa miak 21
    Naomba nafasi ya kutoa huduma ndani ya basi katika kampuni yako
    Nitafanya kaz kwa bidii na kwa umakini mkubwa
    Natumaini ombi langu linafanyiwa kazi
    Ahsante

  6. Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu,
    Naitwa Athumani Ahmadi nina umri wa miaka 22 ,
    Nipo Dar es salaam,Naomba nafasi ya kazi ya ukondakta na pia ni fundi wa magari,Naomba uniajiri katika kampuni yako
    Nakuahidi ntafanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu mkubwa inshaallah Natumaini ombi langu litakubaliwa

  7. Unice Acley says:

    Naitwa Unice Acley Nina umri wa miaka 20 Niko Dar es salaam mbez Naomba nafasi ya kazi ya muhudumu ndani ya gari ivyo naomba unihajiri katika kampun yako na haidi kufanya kazi kwa uhaminifu na bidii Asante natumai ombi langu litajibiwa

  8. Godhelper msuya says:

    Naitwa Godhelper Eliniangaze Msuya Niko musoma Nina umri wa miaka 21 . Ninaomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika magari nitafanya kazi Kwa kujituma

  9. Kipangule Gaitan says:

    Kipangule Gaitan says:
    22/4/2024

    Naitwa gaitan kipangule ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafaxi ya kaz katika kampuni yenu nafas ya ukondaki. Ninakuahid nitafanya kaz Kwa bidii zang zote natumain ombi langu litakubaliwa

  10. Kipangule Gaitan says:

    Naitwa gaitan kipangule nipo makambako ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafas ya Kazi kwenye kampun yenu nafas ya ukondakita Ninakuahid nitafanyakaz kwabidii zangu zote natumain ombilangu litakubaliwa

  11. julian festo says:

    Kwa MAJINA naitwa JULIANI FESTO Nina umli wa miaka 21 Ninakaa kabindi wiraya ya BIHARAMLO NI MTANZANIA NINA AKILI TIMAM NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA NAJUA LUGHA MBILI KINGEREZA NA KISWAHILI . NAPENDA KUOMBA NAFASI YA UKONDAKTA NINAUZOEFU NA KAZI YA UKONDAKTA KEA MIEZI 6 NINAHAHIDI KIFANYA KAXI KWA UAMINIFU MKUBWA NDANI YA KAMPON YA ABOOD MATUMAINI YANGU NITAKUBALIEA ASANTE

  12. Swalehe borhan kitola says:

    Naomba kazi ya ukonda au kukata tiketi au kupakua mizigo na kushusha kwenye kampuni yenu naimani kwauwezo wamungu nita kubaliwa

  13. Mimi nikijana wamiyaka 23 na0mba kazi na ukonda au upakuajia naimani mta kubaliwa ombilangu Kwa uwezo wa mungu

  14. Fatuma yusufu says:

    Mimi fatma yusufu mwenye umri wa miaka 22 naomba kazi ya kukata tiketi katika kampuni ya abood
    Natumai ombi langu litakubaliwa
    Ahsante

    • Mimi Saraphina charles vedasto nina umri wa Miaka 23 ni mkazi wa kimara mwishoNilikuwa Naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha kuhudumu ndani ya basi nahaidi nitafanya kazi hiyo kwa bidii nitashukuru sana kama nikipata hii nafasi. Asanteni🙏

  15. Alhamdu says:

    mim naitwa alhamdu rashidi mwenye umri20
    naomba kazi ya ukonda
    katika kamupuni ya abood
    Natumain ombi langu litakubaliwa
    ahsante

  16. Mimi Saraphina charles vedasto nina umri wa Miaka 23 ni mkazi wa kimara mwishoNilikuwa Naomba nafasi ya kazi katika kitengo cha kuhudumu ndani ya basi nahaidi nitafanya kazi hiyo kwa bidii nitashukuru sana kama nikipata hii nafasi. Asanteni🙏

  17. Mimi na itwa alhamdu rashidi
    mwenye umuli wa mika20
    naomba kazi ya ukondakita katika
    Kamupuni ya abood
    natumain ombi langu lita kuba liwa
    hahsante

  18. Mimi na itwa alhamdu rashidi
    mwenye umuli wa mika20
    naomba kazi ya ukondakita katika
    Kamupuni ya abood
    natumain ombi langu lita kuba liwa
    ahsante

    • Anord says:

      Mimi anord archard mwenye umri wa miaka 24 naomba nafasi ya ukondakita ndani ya kampuni ya abood natumaini ombi langu linakubaliwa ahsante

  19. John says:

    Mim John Edward mwenye umri wa miaka 22 nip mwanza naomb kaz ya ukondakta katik kampun ya abood natumain ombi lang litakubaliwa ahsante.
    No 0624876496

  20. Said juma says:

    Naitwa Said juma nina miaka 18 nipo mkoani morogoro naomba kazi ya kuwakondakta katika kampuni ya mabasi ya abood nitafanya kazi kwauaminifu asante

  21. Shabani Omari shabani says:

    Mimi Shabani mwenye umri wa 20 naomba nafasi ya ukondakta kwenye kampuni yako ya abood

  22. Hanifu says:

    Mimi hanifu swalehe nina umri wa miaka 19 naomba nafasi ya kazi ya muhudumu ndani ya bus katika kampuni yenu ya abood

  23. Isaya George says:

    Habari ndugu,naitwa Isaya George ni draiva,naomba nafasi ya kazi ya udreva kwenye kampuni yako,umr wangu ni 37 nitashukuru endapo ombi langu litasshughurikiwa,asante.

  24. Emmanuel chubu says:

    Me naitwa Emmanuel miaka 25 nahitaji kazi ya kodakita wa ndani ya bus na amini kwa uwezo wangu nitafanya kazi kwa juhudi zangu zote

  25. ATIYA SAIDI says:

    Mimi ATIYA SAIDI Nina miaka 25 nimetuma maombi ya kazi ya kukatisha tiketi katika kampuni ya bus ya abood naimani ombi langu litapokelewa

  26. Naitwa abdully Hussein wassima naishi kiwalani dar El salaam nna miaka 20 nina elimu ya kidato Cha nne naomba nafasi ya kazi ya kuwa kondakta au kukatisha tiketi Asante 0712245190

  27. Kwa majina naitwa IDDI KHALFAN ALLY. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 pia nina uraia wa Tanzania. Ninajua kusoma na kuandika pia nina afya njema. Ni mkazi wa mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Ubungo sehemu ya kimara korogwe. Ninaomba nafas ya kazi ya kuhudumu ndan ya basi katika kampuni ya abood bus service. Nina uzoefuuu mzuri tu wa kufanya kazi pia. Kwa mawasiliano zaidi
    No: 0717990882 tigo

  28. Lukasi says:

    Naitwa lukasi Peter godifrey nirai to a wa Tanzania Nina miaka 27 naomba kazi ya kukata tiketi au kuwa konda wa company hii ya abood.. hasante kwa kusoma ujumbe wngu number za cm yang 0679243390

  29. Lukasi says:

    Naomba KAZI namba 0679243390

    • Shadia Ally says:

      Mimi shadia aliamini Rashidi nina miaka 27 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus kwa nitafanya kazi kwa kujituma na kwa uaminifu nawatakia kila gheri natumaini ombi langu lita kubaliwa