NAFASI za Kazi Wilaya ya Pangani April 2024
NAFASI za Kazi Wilaya ya Pangani April 2024
NAFASI za Kazi Wilaya ya Pangani April 2024, NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Pangani April 2024, Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani April 02-2024, TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI 02-04-2024, NAFASI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II PANGANI APRIL 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani ulipokea Kibali cha Ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu OR- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, chenye Kumb. Na. 170/36/01“C” /35 cha Tarehe 11/09/2023,
Mchakato wa Usaili ulifanyika lakini hakupatikana msailiwa aliyekidhi vigezo vya nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi II.
Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma tena maombi kwa nafasi ifuatayo;
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Pangani More Details |
2024-04-16 Login to Apply |
1.0 MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI MOJA (1)
SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe amehitimu kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
- Awe na Stashahada (NTA Level 6) katika Fani ya Uhazili ngazi ya Diploma.
- Awe amefaulu Somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 100 kwa dakika moja.
- Awe amepata Mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali na Kupata Cheti katika Program za Windows, Microsoft Office,
Internet, E- mail na Publisher.
KAZI NA MAJUKUMU YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI II
- Kuchapa barua, Taarifa na Nyaraka za Kawaida
- Kusaidia kupokea Wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu
wanazoweza kushughulikiwa. - Kusaidia Kutunza Taarifa/ Kumbukumbu za Matukio, Miadi , Wageni , Tarehe za vikao , Safari za Mkuu wake na Ratiba za kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
- Kusaidia kutatua na kumpatia Mkuu wake majalada, Nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
- Kusaidia kufikisha maelezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na kumtaarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
- Kusaidia kupokea Majalada, kuyagawa kwa Maafisa walio katika sehemu alipo na kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
NGAZI YA MSHAHARA
- Mshahara atalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali TGS C.
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye Umri Usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini.
- Waombaji wenye Ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira Ulemavu
walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma; - Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
Mwanasheria / Wakili; - Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za
kuingilia katika Kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. - Waombaji waambatishe maelezo Binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na Majina ya Wadhamini (Referees) Watatu wa Kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya Taaluma, Maelezo , nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria / Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita kwa wale waliofikia Kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mbafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Diploma / Certificate, – Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na VI, Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificates from Respective Boards)
- Testmonials “Provisional Results”,” Statement of results”, Hati ya Matokeo za Kidato cha Nne na Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Waombaji waliosoma Nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA NA
NACTE). - Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana Kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Waombaji kazi ambao tayari ni Waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia Maelezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa Tarehe 30 Novemba, 2010.
- Uwasilishaji wa Taarifa na Sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
Mwisho wa Kupokea maombi ni Tarehe 16/04/2024
MUHIMU; Kumbuka kuambatanisha Barua yako ya Maombi ya Kazi
iliyosainiwa pamoja na Vyeti vya Elimu. Anuani ya Barua hiyo eielekezwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmshauri ya Wilaya ya Pangani,
S.L.P 89,
PANGANI.
Maombi yote yatumwe kwenye Mfumo wa Kielektroniki wa Ajira (Recruitment
Portal) Kupitia Anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ ( Anuani hii pia
inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “ Recruitment Portal’)..
Maombi yatakayowasilishwa nje ya Utaratibu ulioainishwa katika
Tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
About Nijuze Habari Blog
About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.
Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.
Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.
Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki
Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.
About Nijuze Habari Blog
Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.
Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.
Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Pangani April 02-2024, NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Pangani April 2024, NAFASI za Kazi Wilaya ya Pangani April 2024, NAFASI ZA MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II PANGANI APRIL 2024., TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI 02-04-2024