RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi April 18-2024

Filed in Michezo by on 18/04/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi April 18-2024

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi April 18 -2024,Ratiba ya michezo ya leo Alhamisi tarehe 18 April 2024, Ratiba ya Mechi za Simba leo, Ratiba ya Mechi za Yanga leo, ratiba za ligi kuu tanzania Bara 2023/2024, Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League,Ratiba ya Mechi za Leo 18 April 2024.

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi April 18 -2024

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi April 18-2024,Ratiba ya michezo ya leo Alhamisi tarehe 18 April 2024, Ratiba ya Mechi za Simba leo, Ratiba ya Mechi za Yanga leo, ratiba za ligi kuu tanzania Bara 2023/2024, Ratiba ya Mechi za Leo NBC Premier League,Ratiba ya Mechi za Leo 18 April 2024.

👉Tanzania – NBC Premier League
16:00 Ihefu SC vs Singida Fountain Gate

👉UEFA Europa League – Quarter-finals
22:00 Atalanta vs Liverpool
22:00 Marseille vs Benfica
22:00 Roma vs AC Milan
22:00 West Ham United vs Bayer Leverkusen

👉UEFA Europa Conference League – Quarter-finals
19:45 Fiorentina vs Viktoria Plzen
19:45 Lille vs Aston Villa
22:00 Fenerbahce vs Olympiacos
22:00 PAOK FC vs Club Brugge

👉England – National League
21:45 FC Halifax Town vs Oldham Athletic

👉Saudi Arabia – Saudi Professional League
18:00 Al Taawoun vs Al Khaleej
21:00 Al Fateh FC vs Al Raed
21:00 Al Shabab vs Abha

👉Argentina – Cup
22:00 Deportivo Maipu vs Juventud Unida Universitario

👉Egypt – Premier League
17:00 Ceramica Cleopatra sv Al-Ittihad Alexandria
20:00 Future FC vs Pharco FC
20:00 Ismaily SC vs ZED FC

👉Burkina Faso – Ligue 1
19:00 AS Douanes Ouagadougou vs Rahimo FC
19:00 Racing Club Bobo vs Etoile Filante
19:00 Salitas vs Rail Club Kadiogo

👉Ivory Coast – Ligue 1
19:00 ASEC Mimosas vs Bouake FC

👉Ethiopia – Premier League
16:00 Wolkite City FC vs Ethiopian Medhin
19:00 Bahir Dar City FC vs Hadiya Hossana FC

👉Libya – Premier League: Group B
17:30 Al-Ittihad Misrati vs Al Bashaer
17:30 Asaria vs Al-Khum

👉Uganda – Premier League
16:00 Maroons FC vs Busoga United FC
19:00 KCCA FC vs Mbarara City

👉Zambia – Super League
16:00 Mufulira Wanderers vs Green Eagles
16:00;Red Arrows vs Zesco United

HISTORIA ya Mpira wa Miguu

MPIRA wa Miguu Wikipedia,Historia ya Mpira wa Miguu,historia ya Mpira wa Soka,historia ya Mpira wa Kandanda, historia ya Mpira wa Kabumbu,Mpira wa miguu live, Mpira wa miguu pdf, Amri 10 za mpira wa miguu,Mpira wa miguu leo.

HISTORIA ya Mpira wa Miguu

HISTORIA ya Mpira wa Miguu, Mpira wa Miguu Wikipedia,Historia ya Mpira wa Miguu,historia ya Mpira wa Soka,historia ya Mpira wa Kandanda, historia ya Mpira wa Kabumbu,Mpira wa miguu live, Mpira wa miguu pdf, Amri 10 za mpira wa miguu,Mpira wa miguu leo.

Kuhusu Mpira wa Miguu.

Mpira wa Miguu, Soka au Kandanda ni Mchezo unaochezwa na jumla ya wachezaji ishirini na wawili katika timu mbili, kila timu ikiwa na wachezaji kumi na mmoja (11).

Mechi ya kandanda ya Angola dhidi ya Moroko mwaka 2013.

Lengo hasa la mchezo huu ni wachezaji kuumiliki mpira kwa kutumia miguu na kufunga goli, yaani kuuingiza mpira katika wavu wa wapinzani mara nyingi zaidi.

Matumizi ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya kutoka nje ya uwanja.

Historia

Mchezaji wa mpira wa miguu, Ugiriki ya Kale.

Michezo mbalimbali ya kuchezea mpira inaweza kupatikana katika kila uwanja wa jiografia na historia.

Wachina, Wajapani, Wakorea na Waitalia, wote hao walikuwa wakicheza mpira zamani kabla ya enzi zetu.

Wagiriki na Waromania walitumia michezo hiyo kuwaandaa wapiganaji kabla ya vita.

Hata hivyo, ni nchini Uingereza ambapo umbo la soka la kisasa lilianza kulipuka.

Ilianza wakati mashirikisho mawili (Shirikisho la Mpira wa miguu na Mpira wa Ragbi) yalipotawanyika. Shirikisho la kwanza lilibakia Uingereza.

Mnamo Oktoba 1963, Vilabu 11 vya London vilituma wawakilishi katika mkutano wa Freemasons ili kujadili na kuweka kanuni zilizokubalika kusimamia mechi zilizochezwa kati yao.

Mkutano huu ulipelekea kuanzisha kwa Shirikisho la Kandanda (Football Association).

Miongoni mwa kanuni zilizowekwa ni zile za kukataa utumiaji wa mikono kushika mpira na kunyang’anyana kwa nguvu. Soka na Ragbi zilifarakana tarehe hiyo.

Miaka minane baada ya kuanzishwa, Shirikisho la Kandanda (FA) lilikuwa na wanachama 50. Shindano la kwanza la kandanda – Kombe la FA – lilianza mwaka huo, likifuatiwa na lile la Ligi ya Ubingwa miaka 17 baadaye.

Wachezaji wawili wa Klabu ya Darwin, John Dove na Fergus Suter walikuwa wa kwanza kulipwa kwa mchezo wao. Kitendo hiki kilikuwa mwanzo wa soka la kulipwa iliyohalalishwa mwaka wa 1885.

Mwamko huu ulipelekea kuanzishwa kwa Mashirikisho ya kitaifa nje ya Uingereza (Great Britain). Baada ya Shirikisho la Kandanda la Uingereza, Mashirikisho yaliyofuatia ni ya Uskoti (1873), Wales (1875) na Eire (1880).

Kutokana na ushawishi mkuu wa Uingereza katika mataifa ya dunia, soka ilisambaa kote duniani.

Mataifa mengine mengi yalianzisha Mashirikisho ya Kandanda kufikia 1904 wakati Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) lilipoanzishwa. Tangu hapo, kandanda ya kimataifa imekuwa ikikua licha ya vikwazo mbalimbali.

Kufikia 1912, FIFA ilikuwa na uanachama wa mashirikisho 21, idadi iliyoongezeka na kufikia 36 mwaka 1925.

Kufikia 1930 – mwaka ambapo kwa mara ya kwanza kulikuwa na mashindano ya Kombe La Dunia, FIFA ilikuwa na wanachama 41. Idadi hii ilizidi kuongezeka na kufika 51 mnamo 1938 na 76 kufikia 1950.

Baada ya Kongamano la FIFA la mwaka 2000, kulikuwa na wanachama 204 na idadi hii inazidi kukua kila mwaka.

HISTORIA ya Mpira wa Miguu

Mpira wa miguu ulianzia wapi,Mpira wa miguu mpila, Mpira wa miguu tanzania, Sheria 17 za mpira wa miguu, Mwanzilishi wa mpira wa miguu duniani, Historia ya mpira wa miguu, Namba za mpira wa miguu, Kanuni 10 za mpira wa miguu.

Kanuni

Maagizo ya Kandanda hupitiwa na kufanyiwa mabadiliko kila mwaka (Mwezi Julai) na Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA).

Uwanja

Vipimo vya uwanja wa soka.

Uwanja una umbo la mstatili. Hakuna kipimo kamili, ila kanuni zinasema urefu ni baina ya mita 90 na 120, upana baina ya mita 45 na 90. Kwa michezo ya kimataifa urefu uwe baina ya mita 100 – 110 na upana baina ya mita 64 na 75.

Goli ziko kwenye pande fupi zaidi. Kuna alama ya bendera kwenye kona za uwanja. Mwaka 2008 IFAB ilijaribu kusanifisha vipimo kuwa mita 105 kwa 68, lakini kanuni hii ilisimamishwa baadaye.

Mstari ni mpaka wa uwanja. Wakati mpira uko kwenye mstari hata kwa kiasi kidogo unahesabiwa bado uko ndani ya uwanja. Kwa goli kukubaliwa sharti mpira uwe umepita mstari wa goli kabisa.

Mpangilio wa wachezaji

Kuna wachezaji wa aina tatu: beki, kiungo na washambuliaji au straika na golikipa .Ni uamuzi wa kocha kuhusu idadi ya wachezaji wa kulinda lango, wa kiungo au wa mbele, ikitegemea mfumo uliotumika.Mfumo wa 4-4-2 umekuwa maarufu miongoni mwa timu nyingi. Mfumo huu hujumlisha walinzi wanne pamoja na mlinda lango, wachezaji wanne wa kiungo na wawili wa mbele. mshambuluaji lazima akawa mtu mwenye ujuzi mkubwa na mwenye nguvu za kushambulia.

Utunukizi wa Alama

Golikipa akiokoa mpira uliopigwa shuti ndani ya eneo la penati

Katika ligi za kitaifa na kimataifa, alama hutunukiwa kwa timu baada ya mchezo. Timu iliyoshinda hupewa alama tatu huku timu zilizotoka sare hupewa alama moja kila moja.

Ikiwa ni lazima mshindi apatikane, hasa kwenye mechi za fainali, mchezo huwa na muda wa ziada kama timu hizo ziko sare. Iwapo sare hiyo huendelea mchezo huamuliwa kwa mikwaju ya penalty.

Shirikisho la Kandanda Duniani

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ndilo shirikisho kuu linalosimamia kandanda duniani. Wanachama wake ni mashirikisho ya kandanda ya nchi mbalimbali.Kufikia mwaka wa 2000, lilikuwa na wanachama 204 kutoka pembe zote za dunia. Shirikisho hili huandaa mashindano mbalimbali ya soka kama vile Kombe la Dunia la FIFA na pia huwatunuku wachezaji.Sheria 17 za mpira wa miguu, Historia ya mpira wa miguu pdf, Historia ya mpira wa miguu tanzania, Mpira wa miguu ulianzia wapi, Mpira wa miguu leo, Historia ya mpira wa miguu kandanda, Mwanzilishi wa mpira wa miguu duniani, Amri 10 za mpira wa miguu, Namba za mpira wa miguu, Kanuni za mpira wa miguu, Picha ya mpira wa miguu, Mpira wa SIMBA, Unaandikaje historia ya soka?, Je historia ya soka ni ipi?, Nini asili ya mchezo wa mpira wa miguu?, Nani aligundua mpira wa miguu?.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , , , , ,

Comments are closed.