IJUE Saratani ya Shingo ya Kizazi
IJUE Saratani ya Shingo ya Kizazi
IJUE Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kipimo cha saratani ya shingo ya kizazi, Dalili za kansa ya kizazi kwa mwanamke, Dalili za saratani ya shingo ya kizazi, Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na nini, Dalili za kizazi kuharibika.
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI Â NI NINI?
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi.
Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.
Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake katika nchi zinazoendelea.
Ripoti ya 2012 ya shirika la afya duniani ‘WHO’ ilisema kuwa kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa saratani ya kizazi Barani Afrika, 50,000 walifariki Dunia.
NINI KINACHOSABISHA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI?
Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa asilimia 99% ya saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya ‘Human Papillomavirus’ au HPV vilivyoko katika jamii ya papilloma.
Baadhi ya virusi hivi vyenye aina zaidi ya mia moja huambukizwa kwa njia ya kujamiana.
BAADHI YA MAMBO YANAYOONGEZA HATARI ZA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
- Kushiriki tendo la ndoa Katika Umri mdogo au chini ya Miaka 18.
- Kuwa na wenzi tofauti au mwenzi aliye na wapenzi tofauti.
- Utumiaji wa Sigara kwani hupunguza nguvu ya kinga mwilini (Impairs Immune System).
- Watu wenye kinga hafifu ya mwili au Magojwa kama Ukimwi.
- Uzazi wa Mara kwa Mara
BAADHI YA DALILI ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
- Kutokwa na Majimaji au Uchafu wenye harufu kali Ukeni.
- Kutokwa na damu Ukeni mbali na siku za mwezi au baada ya tendo la ndoa.
- Maumivu makali ya sehemu ya chini ya tumbo ( Pelvic Area).
- Kuhisi maumivu makali wakati wa Kujamiiana.
- Kupungua kwa uzito wa mwili bila Kukusudia.
- Mkojo wenye matone ya damu
JE SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUTIBIKA?
Saratani ya shingo ya kizazi yaweza kutibika iwapo itagundulika mapema.
PAP TEST (PAPANICOLAOUS TEST); Pap-Smear ni kipimo ambacho hutumika kuchunguza mabadiliko ya chembe zilizoko katika mlango wa kizazi ili kugundua mabadiliko yanayotokea katika chembe hizo na hivyo kuwahi kuyakabili mapema.
UMRI WA KUPATA PAP TEST
Test hii hushauriwa kwa mwanamke wa umri wa miaka 21 hadi 65 na chini ya umri wa miaka 21 endapo ameingia katika tendo la ndoa kwa kipindi kisichopungua miaka 3.
KUPUNGUZA HATARI ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
- Pap Tests.
Waweza kupata Pap test mara 1 kwa mwaka au mara 1 kwa miaka 2- 3, hii itategemea ushauri wa daktari, umri, hali yako ya afya kwa ujumla, na majibu uliyoyapata katika testi zilizotangulia na mfumo wako wa maisha.
- Pata HPV Vaccine (hii yashauriwa kati ya umri wa miaka 12 hadi 26 chini ya mwongozo wa Daktari) .
- Kuwa na mpenzi mmoja.
- Mahusiano ya kimwili na mtu mmoja hupunguza hatari za maambukizi ya magojwa ya zinaa.
- Tumia kinga (Condoms). hii husaidia kupunguza maambukizi ya magojwa ya zinaa
Madhara ya saratani ya shingo ya kizazi, Kansa ya Kizazi husababishwa na nini, Saratani ya shingo ya kizazi in english, Kansa ya kizazi kwa mwanaume, Picha ya shingo ya kizazi, Uvimbe kwenye shingo ya kizazi, Dalili za kizazi kuuma.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Dalili za kansa ya kizazi kwa mwanamke, Dalili za kizazi kuharibika., Dalili za saratani ya shingo ya kizazi, IJUE Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kipimo cha saratani ya shingo ya kizazi, Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na nini