MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024
MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024
MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Taasisi Mbalimbali Za UMMA 02-03-2024,MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Ajira portal, Tangazo LA KUITWA kwenye USAILI March 2024.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Mfuko wa Self – SELF MF, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02-03-2024 hadi 19-03-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
- NAFASI za Kazi Wizara ya Kilimo Sekta ya Uvuvi March 2024
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
- Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
- Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
- Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili
- Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.
KUONA MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024 Download PDF HAPA
NB: GENERAL CONDITIONS FOR APPLICANTS
GENERAL CONDITIONS
- All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
- Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail and telephone numbers.
- Applicants should apply on the strength of the information given in the advertisement.
- The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
- Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
– Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
– Form IV and Form VI National Examination Certificates.
– Computer Certificate
– Professional certificates from respective boards
– One recent passport size picture and birth certificate. - FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
- Testimonials, Partial transcripts and results slips will NOTÂ be accepted.
viii. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action - Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
- Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
- Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
- Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
- Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
- Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
- Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
- Women are highly encouraged to apply
- Application letters should be written in English or Swahili
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI March 2024 Download PDF, WALIOITWA KWENYE USAILI Utumishi March 2024, Ajira portal login, Call for Interview Ajira Portal, Walioitwa kwenye usaili halmashauri mbalimbali March 2024, MAJINA ya walioitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Ajira March 2024, MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Ajira Portal, Ajira portal Vacancies, Sekretarieti ya ajira.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report OnlineÂ
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TVÂ
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu TanzaniaÂ
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Ajira portal, MAJINA ya Nyongeza ya Waliotwa kwenye Usaili UTUMISHI March 02-2024, MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 2024, Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Majina ya Nyongeza Taasisi Mbalimbali Za UMMA 02-03-2024, Tangazo LA KUITWA kwenye USAILI March 2024