RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024

Filed in Ajira, Michezo, TAMISEMI by on 30/05/2024

SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024

SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024, SERIKALI yatangaza Ajira Mpya 46000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Walimu 12000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Afya 10000 April 2024,Serikali yatangaza Ajira za Watendaji wa Vijiji 9000 April 2024,New 46000 Jobs at Government 2024,Ajira Mpya 46000 Serikalini 2024,Tangazo la Ajira za Walimu 2024, Tangazo LA Ajira za Walimu 2024 PDF,ajira za walimu 2024 2025, TAMISEMI Ajira za walimu,TAMISEMI Ajira za Afya,TAMISEMI news today Ajira,Ajira portal,TAMISEMI News today Ajira 2024,Wizara ya Afya Ajira,Ajira portal login,Ajira portal news,TAMISEMI News today Uhamisho.

SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024

SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024, SERIKALI yatangaza Ajira Mpya 46000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Walimu 12000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Afya 10000 April 2024,Serikali yatangaza Ajira za Watendaji wa Vijiji 9000 April 2024,New 46000 Jobs at Government 2024,Ajira Mpya 46000 Serikalini 2024.

Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora inatarajia Kuajiri Watumiaji wapya 46,000 Katika Kada ya Elimu, Afya na kada nyingine kabla ya mwezi juni baada ya Rais kutoa kibali hicho juzi April 16,2024.

Taarifa hiyo imetolewa bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene katika kipindi cha maswali na majibu kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI wakati akijibu swali la mbunge wa Viti Maalum Bernadeta Mushashu aliyetaka kujua serikali inampango gani wa kupeleka walimu katika shule za msingi na sekondari.

“Rais ametoa kibali cha kuajiri watumishi 46,000 na katika idadi hiyo kibali cha ajira ya walimu ni 12,000 na Ajira ya Afya ni Zaidi ya 10,000 na Imani yangu kwa kushirikiana na wenzetu wa TAMISEMI tutahakikisha upungufu wa walimu kwenye maeneo yetu tutakwenda kwenye maeneo yenye upungufu mkubwa na tunafikiria kuwa na utaratibu mpya wa kuajiri kupitia kwenye mikoa yetu na katika kuzingatia maoni ya wabunge” George Simbachawene.

SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024, SERIKALI yatangaza Ajira Mpya 46000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Walimu 12000 April 2024, Serikali yatangaza Ajira za Afya 10000 April 2024,Serikali yatangaza Ajira za Watendaji wa Vijiji 9000 April 2024,New 46000 Jobs at Government 2024,Ajira Mpya 46000 Serikalini 2024,Tangazo la Ajira za Walimu 2024, Tangazo LA Ajira za Walimu 2024 PDF,ajira za walimu 2024 2025, TAMISEMI Ajira za walimu,TAMISEMI Ajira za Afya,TAMISEMI news today Ajira,Ajira portal,TAMISEMI News today Ajira 2024,Wizara ya Afya Ajira,Ajira portal login,Ajira portal news, TAMISEMI News today Uhamisho.Waziri Simbachawene amesema kuwa nafasi hizo 12,000 ni kwaajili ya sekta ya Elimu na zaidi ya 10,000 ni kwa upande wa kada ya Afya, fursa hizo zitapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya Watumishi kama zilivyotolewa na Wabunge.

Akiwasilisha makadirio ya wizara ya OR-TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Wizara hiyo itawezesha upatikanaji wa watumishi 400 wa Mkataba watakaofanya kazi katika vituo vya kutolea huduma za Afya, kulipa mishahara kwa watumishi 400 watakaoajiriwa.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema kuwa kwa mwaka 2023/24 serikali ilitoa nafasi za Ajira kada ya walimu 10,505 huku kwa mwaka 2024/25, inatarajia kutoa ajira mpya kwa walimu 10,590 ili kutatua kwa kiwango kikubwa kero zilizopo katika eneo hilo.

Naibu Spika, Mussa Zungu, ameitaka Serikali wakati wa kutoa fursa hizo za Ajira kutoa Ajira kwa walimu wanaojitolea kwa zaidi ya miaka mitatu hadi minne kwa kuwa wameonesha moyo wa kuisaidia Serikali kwa muda mrefu.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

Comments (5)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Edna Festo says:

    Kuomba nafasi ya ajira ya ualimu ngaz ya cheti

  2. Kuomba ajira ngazi ya certificate

  3. mangache says:

    nice