MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024
MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024
MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024,Majina PDF Waliopata Ajira Afya February 2023/2024.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
AJIRA ZA MKATABA KUPITIA UFADHILI WA GLOBAL FUND
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya anapenda kuwataarifu juu ya kuitwa kazini kwa waombaji wa ajira za Mikataba kupitia ufadhili wa “Global Fund” waliofaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 01-03 Februari, 2024.
Wahusika ambao majina yao yameorodheshwa kwenye tangazo hili wanatakiwa kuripoti katika Ofisi za Wizara katika jengo la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya tarehe 13-14 Februari, 2024, ghorofa ya nne (4) kwaajili ya kujaza Mkataba wa ajira wakiwa na nakala mbili (2) kwa kila cheti ambacho kilitumika wakati wa kuomba ajira na katika usaili ikiwa ni pamoja na;
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa;
- Nakala ya vyeti vya elimu ya Sekondari (Kidato cha Nne (4) na Sita 6); Nakala ya vyeti vya taaluma;
- Nakala ya cheti cha Mafunzo kwa Vitendo (Internship);
- Nakala ya cheti cha usajili kutoka Baraza husika (Valid Licence);
- Nakala ya Ithibati ya vyeti vya elimu na taaluma (Accreditation na Equivalence) kutoka TCU na NECTA kwa wale waliosoma vyuo vya nje ya nchi pamoja na wale waliosoma Sekondari nje ya nchi/Mitaala ya nje;
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- Kwa wale ambao majina yao yanatofautiana katika vyeti vyao pamoja na vyeti vya kuzaliwa wanatakiwa kuwasilisha kiapo cha majina (Deed Pool) kutoka kwa Msajili wa Viapo na kusajiliwa na Msajili wa Hati, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;
- Nakala ya Kitambulisho/namba ya Uraia (NIDA); na
- Picha mbili (2) Passport Size.
Aidha, kwa atakayeripoti nyaraka pungufu za vielelezo tajwa hapo juu hatapokelewa.
ORODHA YA WATUMISHI WANAOITWA KAZINI KUSAINI MIKATABA, AJIRA ZA GLOBAL FUND IMEWEKWA HAPA.
The Ministry of Health is a government ministry of Tanzania. Its central offices are located in Dodoma. Its mission is to “facilitate the provision of basic health services that are good, quality, equitable, accessible, affordable, sustainable[,] and gender-sensitive”.
It was merged with the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under John Magufuli’s reforms.
Ministry of Health Tanzania address
ministry of health, community development, gender and elderly tanzania, ajira.moh.go.tz login, Ministry of Health Tanzania COVID certificate, Ministry of Health Tanzania contact details, www.moh.go.tz ajira.
Wizara ya Afya (Swahili) | |
Ministry overview | |
---|---|
Superseding agency |
|
Jurisdiction | Government of Tanzania |
Headquarters | Dodoma |
Minister responsible |
|
Deputy Minister responsible |
|
Ministry executive |
|
Website | moh |
Office of the Chief Medical Officer
Preventive Services Division
- Epidemiology and Diseases Control Section
- Reproductive and Child Health Section
- Environmental Health, Hygiene and Sanitation Section
- Health Education and Promotion Section
- Nutritional Services Section
Curative Services Division
- Public and Private Health Services Section
- Diagnostic and Health Care Technical Services Section
- Traditional and Alternative Medicine Section
- Oral Health Services Section
- Non Communicable Diseases, Mental Health and Substance Abuse Section
Human Resources Development Division
- Health Human Resources Planning Section
- Allied Health Sciences Training Section
- Nursing Services Training Section
- Continue Education and Postgraduate Training Section
- Social Welfare Staff Development Section
Health Quality Assurance Division
- Pharmaceutical Services Section
- Health Services Inspectorate and Quality Assurance Section
- Health Emergency Preparedness and Response Section
- Nursing Services Section
Social Welfare Division
- People with Disabilities and Elderly Persons Section
- Family, Child Welfare Services and Early Childhood Development Section
- Juvenile Justice Services Section
Administration and Human Resources Management Division
- Administration Section
- Human Resources Management Section
Policy and Planning Division
- Policy Section
- Planning Section
- Monitoring Evaluation and Performance Reporting Section
Miscellaneous units
- Information and Communication Technology Unit
- Legal Services Unit
- Finance and Accounts Unit
- Government Communication Unit
- Internal Audit Unit
- Procurement Management Unit
Majina ya walioitwa kazini February 2024, Majina ya walioitwa kazini TAMISEMI February 2024, Majina ya walioitwa kazini wizara ya afya February 2024, ajira za afya 2024/2025 pdf, Ajira za Afya 2023/2024 dates, Tangazo LA Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Ajira Wizara ya Afya February 2024, Tarehe ya kuripoti kazini Ajira Mpya za Afya 2024, Waliochaguliwa Ajira Wizara ya Afya 2024, TAMISEMI Ajira za Afya 2024,:Orodha ya majina ya watumishi wa afya waliopangiwa vituo vya kazi February 2024, Ajira za Afya February 2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Majina PDF Waliopata Ajira Afya February 2023/2024., MAJINA ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024, Tangazo la Kuitwa Kazini Wizara ya Afya February 12-2024