MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 19-2024
MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 19-2024
MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 19-2024, Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 19-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo April 2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 2024,TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 19-04-2024.
- NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024
- SERIKALI Kuajiri Watumishi Wapya 46000 Kada ya Elimu na Afya 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-11-2023 na tarehe 19-03-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
MUHIMU:
Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Kitambulisho cha kazi.
KUONA MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA LEO APRIL 19-2024 DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA
Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Mwongozo wa Mabadiliko Katika Matumizi ya Mfumo wa Maombi ya KaziRecruitment Portal User Guide v 2.1
NB: MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI MASHARTI YA JUMLA
- Waombaji wote lazima wawe Raia wa Tanzania na wasiozidi umri wa miaka 45, hata hivyo, wanapaswa kuzingatia ukomo wa umri kwa kila nafasi inapoonyeshwa.
- Waombaji lazima waambatanishe na wasifu wa sasa wa Curriculum Vitae (CV) yenye mawasiliano ya kuaminika, anwani ya posta, barua pepe na nambari za simu.
- Waombaji wanapaswa kuomba kwa nguvu ya habari iliyotolewa katika tangazo.
- Cheo cha nafasi na taasisi iliyoombewa kiandikwe katika mada ya barua ya maombi; fupi ambayo itafanya maombi kuwa batili.
- Waombaji lazima waambatishe nakala zao za kina zilizoidhinishwa za vyeti vya Taaluma: – Astashahada/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma/Vyeti. – Nakala za Uzamili/Shahada/Stashahada ya Juu/Diploma. – Vyeti vya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV na
- Cheti cha Kompyuta – Vyeti vya taaluma kutoka bodi husika – Picha moja ya pasipoti ya hivi karibuni na cheti cha kuzaliwa.
- SLIPS ZA MATOKEO YA KIDATO CHA IV NA VI HAZIKUBALIKI KABISA vii. Ushuhuda, Nakala Sehemu na hati za matokeo HAZITAKUBALIWA.
- Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi vya kitaaluma na taarifa nyingine katika CV itahitaji kuchukuliwa hatua za kisheria
- Waombaji wa nafasi za juu walioajiriwa sasa katika utumishi wa umma wanapaswa kupeleka barua zao za maombi kupitia kwa waajiri wao.
- Waombaji wa ngazi za kujiunga walioajiriwa sasa katika Utumishi wa Umma wasitume maombi, wanatakiwa kuzingatia Waraka Na. CAC. 45/257/01/D/140 ya tarehe 30 Novemba 2010.
- Waombaji ambao wamestaafu/wamestaafu Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile wasitume maombi.
- Waombaji wanapaswa kuonyesha waamuzi watatu wanaojulikana na mawasiliano yao ya kuaminika.
- Vyeti vya mitihani ya nje ya elimu ya kawaida au ya juu vithibitishwe na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)
- Vyeti vya Vyuo Vikuu vya nje vinapaswa kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
- Waombaji wenye mahitaji maalum/kesi (ulemavu) wanatakiwa kuonesha.
- Wanawake wanahimizwa sana kuomba.
- Barua za maombi ziandikwe kwa Kiingereza au Kiswahili.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania April 03-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za UMMA Leo April 19-2024, Kuitwa Kazini UTUMISHI Leo April 2024, MAJINA ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 19-2024, Orodha ya Majina ya Waliotwa Kazini UTUMISHI Leo April 2024, TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 19-04-2024.