RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 10/03/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024

NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024,NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Wizara ya UTALII na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024.

NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024

NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024,NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Wizara ya UTALII na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024.

POST Afisa Takwimu Daraja la II-UNGUJA – 1 POST
EMPLOYER KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR
APPLICATION TIMELINE: From: 01-03-2024 To: 15-03-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kusaidia kukusanya taarifa za Takwimu za Utalii.
  • Kusaidia kuchukua Takwimu za Utalii mifano Vielelezo “Sampling” na kuziwasilisha sehemu husika.
  • Kusaidia kuchambua na kuwasilisha Takwimu za Utalii kwa Wakuu wake wa kazi.
  • Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
  • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu au Uchumi na Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ajili ya mifumo mbali mbali ya ukusanyaji takwimu.

REMUNERATION ZPSH-10

Click here to Apply


NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024,NAFASI Mbalimbali za Kazi Wizara ya UTALII Zanzibar March 2024, Nafasi za Kazi Wizara ya UTALII na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024, Nafasi za Ajira Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar March 2024.POST MSAIDIZI AFISA MKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA-UNGUJA – 1 POST
EMPLOYER OFISI YA MUFTI MKUU WA ZANZIBAR
APPLICATION TIMELINE: From: 01-03-2024 To: 15-03-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • Kuzingatia huduma ya ukalimani wa lugha ya alama kwa Watu wenye Ulemavu wa Uziwi.Kuyafanyia kazi mafunzo ya lugha ya Alama kwa Watendaji wa Taasisi za Umma na Binafsi.
  • Kusaidia huduma ya ukalimani wa lugha ya Alama kwa vyombo vya kusimamia sharia.
  • Kuandaa mazingira mazuri ya kupata taarifa kwa Watu wenye Ulemavu wa Uziwi
  • Kusaidia katika kusimamia Kanuni za lugha ya alama na ukalimani wa lugha ya Alama
  • Kusaidia katika kuandaa ripoti ya mwezi, nusu, na mwaka mzima juu ya utekelezaji wa majukumu ya ukalimani wa lugha ya alama.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

  • Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita 46.
  • Awe amehitimu Elimu ya Cheti cha Lugha ya Alama kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION ZPSB – 04

Click here to Apply

Nafasi za Kazi zaidi bofya HAPA.

Ajira Mpya Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar 2024, Nafasi za kazi wizara ya utalii zanzibar march 2024 download Pdf, Ajira portal Zanzibar,Nafasi za kazi Utumishi Zanzibar, NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Nafasi za kazi kwenye mabasi ya mikoani 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.